Ndani ya jiji la Lagos

Ndani ya jiji la Lagos

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
Hali halisi kitaani
Lagos_bridge.jpg
 
Kwani lazima Uishi Mjini kwenye Maji Machafu na Mbu?. Mapori yako kibao ya kuishi kuliko sehemu mbovu kama hiyo.
 
kwani lazima Uishi Mjini kwenye Maji Machafu na Mbu. Mapori yako kibao ya kusihi kuloko sehembu mbovu kama hiyo.

Alafu ukiangalia kwa makini hasa hiyo picha aliyo-post mdau Dotworld utagundua kuna baadhi ya mambo yapo ndani ya uwezo wao kama hayo makopo ya maji yaliyotumika na uchafu mwingine, kama wangechukua hatua ya kutupa uchafu sehemu zinazohusika wasingeingia gharama ya kukwepa uchafu kwa kutengeneza hizo TRADITIONAL FLYOVER maana hizo mbao wangejengea mabanda ya kuku na kuwa wajasiamari wa nguvu
 
Last edited by a moderator:
Kwani lazima Uishi Mjini kwenye Maji Machafu na Mbu?. Mapori yako kibao ya kuishi kuliko sehemu mbovu kama hiyo.

Swali kama hili anaweza akalijibu yule anaekaa jangwani! Muji9ni ni mujini na wale wakule nyumbani hawtubaguwi tuishi Tandale wala Osterbay, kwao wao wanajua sote tuko Dalisalama!
 
Maji ya kunuka na Stori maisha yanakwenda, wanasubiri CCM ilete maendeleo toka Ughaibhuni anaenda kutembea MH John Walker
manzese.jpg
 
Back
Top Bottom