Dar hadi Harare kwa bus ni siku ngapi?Nimekuja kihalali kabisa
Ninaanza na fani ya kunyoa coz nimeshameet na wabongo vinyoz.
Niliambiwa cape town hakuna usumbufu kwa wageni kama johbeg na Durban.
Dar to tunduma,Lusaka, harare mpaka cape town
Sijaelewa ulicho kiandika..!Tajiri Gaucho umbea na kufatilia maisha ya watu wameacha uko...
Sijaelewa ulicho kiandika..!
Dodoma umehama lini acha fixNiko Lesotho mkuu
Ukipata chance karibu
Nilianzia Lesotho ndipo nikaenda DomDodoma umehama lini acha fix
Transit camp😂😃😁😀
Upo Lampaduse Kule Italy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu bwana.Ww Ni moja ya watu niliokuwa nawaona kwenye kila thread inayohusu SA ila mpaka sasa bado unasema IPO SIKU.Haya mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We juzi ulikua unaomba lift ya kwenda Dodoma kumbe ulikua unatoka Lesotho?!?!
Siku tatu.Dar hadi Harare kwa bus ni siku ngapi?
Hayo sio lazima, hasa kama unakwenda sehem kama Cape town. Migration, ao polici hawatakuulizaga chochote kile. Kikubwa usifanye uhalifu tu.Ina maana south hawahitaji resident permit au ndio ujanja ujanja na unapewa siku ngapi za kuishi huko ukiwa tu na pasport ya kawaida . Kuuliza si ujinga
Pana baridi hapo utadhani linatengenezwa hapo na kusambazwa miji ya SA...Niko Lesotho mkuu
Ukipata chance karibu