Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Acha umbeaWe juzi ulikua unaomba lift ya kwenda Dodoma kumbe ulikua unatoka Lesotho?!?!
Acha umbeaWe juzi ulikua unaomba lift ya kwenda Dodoma kumbe ulikua unatoka Lesotho?!?!
Nimeacha. Za uko Lesotho?!?!Acha umbea
[emoji3]Mapumziko ya mwaka kwa mtu kutoka Tanzania ni overstatement.
Hahaaa!nimeshakajua haka kamjamaaa[emoji1][emoji2]Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Makaratasi ya kudumu. Kupata ukazi wa kudumu. Yatakuwezesha kutoka na kuingia sauzi! Yaani uko sauzi huelewi maana ya neno kupata makaratasi. Oa mama wa kikunjani akupe mapepa. Usitembee kwa mapenzi ya dhati na mwanamke ambaye siyo raia wa sauzi. Pepa kwenza. Huyo jamaa wa Botswana kasema ukweli "ukipata pepa " kumbuka hilo neno kila siku unapokuwa hapo. Usirudi bongo mpaka kieleweke. Kila la kheri kamanda.Ahsante mkuu,hebu nidokeze Ni makaratasi gani hayo?
Makaratasi ya kudumu. Kupata ukazi wa kudumu. Yatakuwezesha kutoka na kuingia sauzi! Yaani uko sauzi huelewi maana ya neno kupata makaratasi. Oa mama wa kikunjani akupe mapepa. Usitembee kwa mapenzi ya dhati na mwanamke ambaye siyo raia wa sauzi. Pepa kwenza. Huyo jamaa wa Botswana kasema ukweli "ukipata pepa " kumbuka hilo neno kila siku unapokuwa hapo. Usirudi bongo mpaka kieleweke. Kila la kheri kamanda.
Pambana mjomba. Bongo nyoso. Mimi msafiri long time na kila naposikia msafiri mbongo popote pale alipo nampa moyo wa kikakamvu. Tafuta pesa, lakini muhimu zaidi ni makaratasi mjomba kama ulikuwa na mwajuma ndala ndefu wako bongo mwambie asubiri..akilia oh eti anakumisi mwambie atulize boli...asikutie presha .Pamoja sana mkuu,acha tupambane
Pambana mjomba. Bongo nyoso. Mimi msafiri long time na kila naposikia msafiri mbongo popote pale alipo nampa moyo wa kikakamvu. Tafuta pesa, lakini muhimu zaidi ni makaratasi mjomba kama ulikuwa na mwajuma ndala ndefu wako bongo mwambie asubiri..akilia oh eti anakumisi mwambie atulize boli...asikutie presha .
Salama tiNimeacha. Za uko Lesotho?!?!
Kuwà na adabu hii sio kauli ya kuandika mtu mzima, p.u.m.b.a.vu zakoKaka hakikisha unarudi na MARINDA
Wee zako umeziacha wapi?... Nimetoa ushauri kulingana na wakati uliopo ,,kumbuka nchi hiyo anayokimbilia haipingi ushoga ,,, had maandamano wanafanya tena na ulinzi wanapewa ,,sasa kumshaur atunze marinda yake kuna upumbafu gan?... Wee utakua hunaa tyr usitake na wenzako wapoteze yaoKuwà na adabu hii sio kauli ya kuandika mtu mzima, p.u.m.b.a.vu zako
Wivu utakuuaMaisha sio south ww
Wivu wa nn ss ww ndo unanilisha acha uzwazwa wwWivu utakuua
Jiwe anasema za kuambiwa unachanganya na za mbayuwayu.Za kwako tupa chato.Kikwete alisema ukiambiwa changanya na zako. Muhimu kila neno tunalosikia kujiongeza badala ya kulibeba kama lilivyo
Tajiri Gaucho umbea na kufatilia maisha ya watu wameacha uko...Usikosi kuja kutembea HARMANAS, pametulia Sana.