Ndanda Publications msaada tafadhali wadau wa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndanda Publications msaada tafadhali wadau wa JF

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KAMBOTA, May 31, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Habari wadau? mimi ni mwandishi wa vitabu naomba yeyote mwenye mawasiliano ya Ndanda Publication anisaidie na shida sana na mawasiliano yao. Nikipata namba zao za mkononi(meneja) ndo itakuwa safi zaidi lakini all in all naomba contacts za hiyo kampuni, yeyote mwenye kufahamu tuwasiliane kupitia 0717 709618 au novakambota@gmail.com
  NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU WADAU, MUNGU AWABARIKI WOTE.
   
 2. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,211
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Naona kwenye neti kuna simu za Monastery ya Ndanda kama ifuatavyo: 255 784 306 170 au
  255-784-371-335. Nadhani ukiwapigia watakuelekeza kwenye kitengo chao cha uchapishaji.

  Augustine Moshi
   
 3. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Unaweza kwenda Pale St Joseph au baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kurasini, wanaweza kuwa na contact zao.
   
 4. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,202
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ndanda wayeyeushaji,mm nshapeleka miswaada yng miwili wamenizungusha tu miaka nenda miaka rudi.nadhan uongoz wa sasa hauna sera faafu ya uchapishaji.si kama ndanda ile ya zamani.
   
Loading...