Nchimbi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchimbi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Observer2010, Jun 13, 2011.

 1. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna mambo kadhaa yamenisukuma kuweza kutafuta profile ya huyu mheshimiwa especially ile title yake ya Dr ilivyopatikana, maana binafsi nilikuwa sijajua mh ni Dr wa kutibu, wa PHD au wa kupewa. Nikacheki kwenye hii link hapa chini. Hakika inanichanganya, sasa sijui ni typing error ya huyo administrator wa bunge au ndio uhalisia ?


  Parliament of Tanzania  Ukicheki kati ya mwaka 2001 mpk 2003, Mh. alisoma masters mzumbe university halafu at the same time akawa amesoma PHD hicho chuo kingine. Hiyo haitoshi, katika kipindi hicho hicho alikuwa anafanya kazi NEMC kama administrative officer. Achilia mbali hivyo vyeo vya kichama.


  Hivi hii inaweza kuwa ndio sababu ya huyu mheshimiwa kutoendana kabisa na hiyo title ya Dr ?

  Kiukweli mtu kuwa na Dr. ya Phd, hapa sizungumzi Dr wa mifugo, hata the way anavyopresent issue yoyote unapick kwamba jamaa amepitia makablasha ya kutosha. :A S-confused1:
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Cc magamba mbona hizo ni nyingi tu.
  Ukiona mtu anafoji umri ujue huyo hakuna kitu haramu kwake kufoji.
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Unajua hii nchi ndugu yangu tumezoea kuchakachua kila kitu na ukifanya hivyo unaonekana mjanja,...ona hii ukienda hospital ukachachua foleni na kutibiwa kabla ya wengine uliowakuta_mjanja,ukachakachua foleni bank_mjanja,ukaiba hela za kampuni/shirika au umma na kuwa tajiri_mjanja,ukiwa na wanawake wengi/mhuni _mjanja,......nk
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mpango mzima wa kuchakachua,usikonde wala nini.
   
 5. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dr Nchimbi (PhD).Huyu jamaa inaonekana ni genius.Maana Cv yake inatisha.Kalamba vitu dabo dabo duh.
   
Loading...