Nchimbi huenda tusimwone tena kama Humphrey Polepole

Nchimbi huenda tusimwone tena kama Humphrey Polepole

Nchimbi atafuata nyayo za Abdul Jumbe. Atazeekea nyumbani kwake na kamwe hataonekana mahala popote.
Wasingemvua uanachama angekuwa kama Jumbe lakini kwa sababu si mwana ccm yuko huru itakuwa ngumu kumfungia ndani. Vile katangaza kujiuzuru sio ugaidi kunfungia ni unyanyasaji wa haki za binadamu.
 
Ccm ipo na watu wa ajabu sana , wapo na mabaraza kibao ,kuna wakongwe kibao ,wanashindwaje kuliamsha Dude , kwamba wako salama kiasi gani, wanachama wanatakiwa kuja na msimamo mmoja , sio kukaa kikondoo .
Wamtake alie mwanachama wao na Makamu wao yuko wapi?

Pili watake haki ya Mwanachama mwenzao kusikilizwa.

Kama hawezi sikilizwa basi hata uyo waligombea wote ,wamtake kuachia ngazi simple and clear , yanaburuzwa tu.
Ndani ya CCM hakuna mwenye guts za kuuliza chochote, kama aliyewahi kuwa katibu mwenezi wa chama na balozi alikiiwakisha nchi katika nchi kadhaa anaweza kutekwa na Abdul na kuuawa, kama makamu wa rais analazimishwa kujiuzulu ili cheo apewe Mpemba ambaye yuko kwenye mid-thirties mpaka wamefoji wakamuongezea miaka ili aonekane ana umri unaostahili, huyohuyo VP amevuliwa uanachama bila ya kufanyika kikao chochote cha kichama kumjadili.
Kwa mlolongo huo wa uimla hakuna mtu ndani ya CCM mwenye jeuri ya kuuliza au kulalamikia uonevu kwani timu Fwele-boy iko standby kumyakua yoyote atakayeleta 'kiherehere'.
 
Ndani ya CCM hakuna mwenye guts za kuuliza chochote, kama aliyewahi kuwa katibu mwenezi wa chama na balozi alikiiwakisha nchi katika nchi kadhaa anaweza kutekwa na Abdul na kuuawa, kama makamu wa rais analazimishwa kujiuzulu ili cheo apewe Mpemba ambaye yuko kwenye mid-thirties mpaka wamefoji wakamuongezea miaka ili aonekane ana umri unaostahili, huyohuyo VP amevuliwa uanachama bila ya kufanyika kikao chochote cha kichama kumjadili.
Kwa mlolongo huo wa uimla hakuna mtu ndani ya CCM mwenye jurisdiction ya kuuliza au kulalamikia uonevu kwani timu Fwele-boy iko standby kumyakua yoyote atakayeleta 'kiherehere'.
Kabisa
 
Back
Top Bottom