Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,960
Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
 
Hatutaki mtu mwenye makandokando na anayetamani kuwa Rais. Mzee Warioba anaweza kutuvusha. Asaidiwe na retired generals waliolitumikia taifa unselfishly!
 
Kumuacha #Nchimbi nisawa na kumuacha Sa100

Kimsingi Uchaguzi ufutwe ,mchakato wa uchaguzi uanze upya chini ya Rais wa serikali ya mpito.

Nchimbi ndiyo mdudu gani aisee
 
Kumuacha #Nchimbi nisawa na kumuacha Sa100

Kimsingi Uchaguzi ufutwe ,mchakato wa uchaguzi uanze upya chini ya Rais wa serikali ya mpito.

Nchimbi ndiyo mdudu gani aisee
Yaani ni safisha kabisa. Toa uchafu wote. Tunahitaji utaratibu mpya wa kuendesha maisha yetu.
 
Labda judge nkuu tu naye anatakiwa apitishe katiba ya warioba
 
I WAS IN....

Uchaguzi huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafu usiofaa hata kuangaliwa kwa macho matakatifu...

Nilishiriki kama msimamizi. Lengo langu lilikuwa kupata siri ya kila kilichokuwa kinafanyika ndani. Nimeona kwa macho yangu. Hakuna cha kupepesa macho wala kusita kuusema ukweli kuwa, CCM hawatakiwi, hawakubaliki na wakiachiwa tena kidogo tu wataiteketeza kabisa nchi hii na taifa letu...

Wapiga kura, watu waliususia na kuukataa kabisa uchaguzi huu kwa moyo na kwa vitendo. Kama kuna kituo cha kupigia kura Tanzania nzima kilichofikisha watu wapiga kura halali waliokwenda kupiga kura hata 30 tu, basi hicho kituo kilikuwa ndani ya chumba cha Samia Suluhu mwenyewe na ukoo wake ndo walimpigia kura hizo...!!

Tunataka uchaguzi mpya na watu wote tushiriki..!!!

Hawa wapumbavu wote wakae pembeni tena wakiwa nyuma ya nondo za magereza (behind prison bars) kwa kuliingiza taifa katika hasara kubwa..

Dr Emmanuel Nchimbi hafai, ni walewale na hana tofauti na Samia na Kikwete...

We need a new election. That's only option...
 
Back
Top Bottom