Nchi zilizopata kutawaliwa na Marais "Matingatinga"

Nchi zilizopata kutawaliwa na Marais "Matingatinga"

Watanzania juzi tu hapa walikuwa wanalalamika JK ni rais dhaifu daah!
Watanzania huwezi jua wanataka nini mvua au jua...kikubwa ni kuwasaidia kufikiri kwa niaba yao ukishawapelekesha huko mbele ndio huzinduka na kuanza kukushukuru...
 
..ukawa bado sana,kama hamjitambui namna hii (hamjui nini mnataka) mtasindikiza ccm kutawala hii nchi mpaka mpotee kwenye uso wa dunia.
 
Una hasira ya kukosa mgao wa bilioni mbili!

mi sio ccm nlishazoea shida toka 1961 shida ni nyie mliozoea vya kunyongwa na kula vibudu hamna namna lazima muungane nae tu ila vyeo vyake vinatoka kwa kumsifia kazaneni lumumba mkipata akili udikteta ushazaa miziz hata nyie mtashindwa kulisogelea sinia la ubabwa mtakuwa mnakula kwa macho.
 
Ulinganifu wako fyongo ebu tafuta mda mchukue mmojawapo na uandike namna alivyoongoza inchi then umlinganishe na JPM
 
mi sio ccm nlishazoea shida toka 1961 shida ni nyie mliozoea vya kunyongwa na kula vibudu hamna namna lazima muungane nae tu ila vyeo vyake vinatoka kwa kumsifia kazaneni lumumba mkipata akili udikteta ushazaa miziz hata nyie mtashindwa kulisogelea sinia la ubabwa mtakuwa mnakula kwa macho.
Bilioni mbili zimeenda kwa......na wamekuwa wakimya ghafla kwani wakiibuka wanaumbuliwa fasta
 
Ni kauli ya mzaha kwa hoja za msingi

exactly ......toka 1954 miaka 50 sasa madarakani lakina watu wanaishi ktk umasikini wa kutupwa. miaka 50 hakukua na serikali?
 
Bilioni mbili zimeenda kwa......na wamekuwa wakimya ghafla kwani wakiibuka wanaumbuliwa fasta

alikuwepo wizara ya ujenzi na wizara yake ndani ya miaka 5 ilikuwa ikitengewa bajeti hakuliona hilo?

HIYO NI MIZUKA NGOMA NI ILE ILE.....
 
exactly ......toka 1954 miaka 50 sasa madarakani lakina watu wanaishi ktk umasikini wa kutupwa. miaka 50 hakukua na serikali?

Kwa hiyo ni Tanzania tu iliyopata uhuru miaka 50 iliyopita na bado watu wake ni masikini?????????!!!!!!!!!It is pathetic...ni majibu rahisi kwa maswali magumu
 
Watanzania juzi tu hapa walikuwa wanalalamika JK ni rais dhaifu daah!
Hawa ni wakupuuzwa kabisa yaani hawaaminiki hata chembe, Mnyika kila akisimama alikuwa ooh Rais dhaifu now wanakuja Dikteta sijui nini waganga njaa kumbe hakuna cha masilahi kwa wananchi wala nini Sanaa tu kama za Kaole-Bagamoyo.
Watu wanashindwa kuja na mbinu za kimageuzi badala yake ndiyo watetezi wa uzembe na madudu no wonder ZZK alijitoa sikuwa nimepata jibu now is clear and obvious.
 
Kwa hiyo ni Tanzania tu iliyopata uhuru miaka 50 iliyopita na bado watu wake ni masikini?????????!!!!!!!!!It is pathetic...ni majibu rahisi kwa maswali magumu

hapa tunaijadili kongo? au uchumi wa burundi unakuhusu nini wewe? umaskini wa watu wa somalia unakuhusu nn ww? una rasilimali kiasi gani ktk nchi yako? unazidiwa hadi na kagame!!!!!!!!

et .....(it is pathetic)

upo makini kweli wewe kama haikuhusu wewe hiyo sentensi ya kiswanglish .....
 
Mtoa mada nazan si sahh sana ninahakika pia huna tafiti za kutosha ktk hili hivyo huenda lisiwe na impact njema hivyo umakini unahitajika ktk lolote uwazalo na hata kuliweka machoni pa wengi...
 
Wananchi wa mataifa yafuatayo wamewahi kuwa na bahati mbaya kujikuta wakitawaliwa na marais Matingatinga - yaani wapenda sifa,wasiopenda kukosolewa na wakiukaji wakubwa wa katiba za nchi zao.Hupenda kudhibiti bunge,mahakama na huminya uhuru wa raia kupata na kupashana habari

1. UGANDA - Idi Amini Dada( 1971-1979)
2. NIGERIA - Sani Abacha(1993-1998)
3. JAMHURI YA AFRIKA YA KATI - Jean-Bedel Bokassa(1966-1979)

4. GUINEA YA IKWETA - Francisco Macias Nguema(1968-1979)

Kusudi la kuanzisha uzi huu ni hofu tu kuwa isitokee siku moja Tanzania tukatawaliwa na Rais Tingatinga wa level ya kina Bokassa,Idi Amini Dada, Abacha na Macias Nguema maana itakuwa ni kilio kikuu na kusaga meno!
Huna jipya
 
hapa tunaijadili kongo? au uchumi wa burundi unakuhusu nini wewe? umaskini wa watu wa somalia unakuhusu nn ww? una rasilimali kiasi gani ktk nchi yako? unazidiwa hadi na kagame!!!!!!!!

et .....(it is pathetic)

upo makini kweli wewe kama haikuhusu wewe hiyo sentensi ya kiswanglish .....

Hoja rahisi na dhaifu na ya jazba kwa masuala ya msingi
 
..huwa nawaza sana ila sipati jibu,watanzania mkoje? hivi mnataka rais wa type gani sasa?.kama vile hatujitambui.
Usiseme watanzania nikosa,
Hawa ni wachache kwa masilahi yao, hakuna point na hoja za msingi now ni mshahala, Dikteta,blabla kibao.... Dereva kanyaga mafuta mpaka 2020.
 
Back
Top Bottom