Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Tanganyika vepe?Alafu kuna watu wanapiga kelele na Tz yao yenye watalii milioni 2
Hizi si rahisi kuwepo, watu wanakenda kwenye starehe....kinywaji ie pombe, womanisation and the like! beaches za kustarehe "uchi"...sasa huko Dubai Saudia ini inakataza.Dubai, Saudia haipo list ya uongo
Bado tupo vizuri wa 25 ana mil 16Alafu kuna watu wanapiga kelele na Tz yao yenye watalii milioni 2