Watu weusi tunapenda kujifariji sana..View attachment 2187760
Hizo propaganda zakusema Africa tuna rasilimali nyingi zimetoka wapi?
Wana miti mingi na misitu kikubwa tu na sio kingineCongo DRC???
Mkuu acha kukalili Iran na Iraq ni mataifa yenye utajiri mkubwa wa madini.Toa Iraq, Iran, Saudia unless taarifa yako ililenga utajiri wa ( mafuta) uweke DRC kwa upande wa utajiri wa asili Hizo nchi tatu za warabu hawaigusi DRC.
Toa Iraq, Iran, Saudia unless taarifa yako ililenga utajiri wa ( mafuta) uweke DRC kwa upande wa utajiri wa asili Hizo nchi tatu za warabu hawaigusi DRC.
Madini gani mkuu, kuhusu natural resources ukiitoa Russia, USA, Canada na Australia nakuambia hakuna mwingine anayemfikia DRC.Mkuu acha kukalili Iran na Iraq ni mataifa yenye utajiri mkubwa wa madini.
Unaongea usichokijuwa kubusu hizo NCHI. Hizo NCHI ni tajiri wa madini mengi ila tumezowea Zina mafuta tuToa Iraq, Iran, Saudia unless taarifa yako ililenga utajiri wa ( mafuta) uweke DRC kwa upande wa utajiri wa asili Hizo nchi tatu za warabu hawaigusi DRC.
Hayo madini hayana majina ama? Yataje halafu nikupe takwimu za kijiolojia mkuu.. Acha kuwa mvivu wa kusoma.Unaongea usichokijuwa kubusu hizo NCHI. Hizo NCHI ni tajiri wa madini mengi ila tumezowea Zina mafuta tu
Wana miti mingi na misitu kikubwa tu na sio kingine


, kumbuka congo pia kuna sehemu kuna Mvua mwaka mzima bado mito
Unaongea usichokijuwa kubusu hizo NCHI. Hizo NCHI ni tajiri wa madini mengi ila tumezowea Zina mafuta tu
Here they are: Cheap labour force, vast fertile land for agriculture, plentiful water resources, sunshine 365 days/year, excellent air quality, coltan for computers, cobalt for cars, tanzanite etcView attachment 2187760
Hizo propaganda zakusema Africa tuna rasilimali nyingi zimetoka wapi?
Here they are: Cheap labour force, vast fertile land for agriculture, plentiful water resources, sunshine 365 days/year, excellent air quality, coltan for computers, cobalt for cars, tanzanite etc
Hivi unakijua unachokiongea kweli wewe ndo vile kisa haupangiwiWana miti mingi na misitu kikubwa tu na sio kingine
Afrika tuna rasilimali nyingi ambazo hatujaanza kuzichimba na nyingine hazija gundulika, mfano Congo DRC ,kama sikosei mwaka juzi hapo Bonde la mto Ruvu wamegundua kuna gesi.View attachment 2187760
Hizo propaganda zakusema Africa tuna rasilimali nyingi zimetoka wapi?