Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,906
- 18,874
Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa yanahusiana na kazi walizokuwa wanafanya.
Rushwa kubwa zaidi ipo kwenye kupeana tenda zenye gharama za ukichaa. UK juzi wametoa tenda ya kubadalisha logo. Iligharimu paundi laki tano na elfu thelathini. Logo yenyewe iliyofanyiwa marekebisho.
Rushwa kubwa zaidi ipo kwenye kupeana tenda zenye gharama za ukichaa. UK juzi wametoa tenda ya kubadalisha logo. Iligharimu paundi laki tano na elfu thelathini. Logo yenyewe iliyofanyiwa marekebisho.