Kuna watu hapa jamvini wanadhani baadhi ya nchi za magharibi hazijafurahishwa na uchakachuaji wa kura. Naomba tufunguke macho,
Nchi za magharibi hazinufaiki chochote na uamuzi wa wananchi wa nchi hii kama uamuzi huo unawanyang'anya fursa za kuendelea kupora nchi hii. Angalia sera za chadema kuhusu maslahi ya nchi hizi.
Chadema walikusudia kurejea mikataba ya madini, kutonunua mashangingi, kutoa elimu bora bure, kutoa afya bora bure, kutumia gesi asilia kunyanyua uchumi kupitia wazawa, kuwapa wananchi wadaraka zaidi kuliko serikali kuu inayoongozwa na internatinal consultants, etc, etc
jiulize kwa nini JK alialikwa white house baada tu ya Obama kuapishwa. Kwa nini G Bush alitembelea tz kabla ya muda wake kwisha. Kwa nini Iraq ilivamiwa? Kwa nini marekani inawachukia Mugabe na rais wa Venezuela?
Kwa nini Rwanda inaanza kupiga hatua kukuza uchumi wa wananchi wake na nchi za magharibi zinaibua hoja ya demokrasia? Je, maana ya demokrasia kwai ni sawa na ile ya kwetu?
Niliwahi kusema Hapa janvini kwamba nchi hizi haziwezi kufurahia sera na umaarufu wa Slaa. Kwa nini uamuzi wa kuchapa karatasi za kura nje ya nchi ulifanyika gafula baada ya kugundua Slaa ni tishio?
sikubaliani na wewe mataifa ya nje yanajua kila kitu na wanafanya makusudi kutunyonya! Hakuna anayetuonea huruma zaidi ya kutufilisi tuu na kutumia ujinga wetu kama daraja lao!hayo ni mawazo yako; mali inayoibwa tanzania na makampuni ya kanada haimsaidii mlipa kodi wa kanada ambaye ndiye anayetoa dola zake kuisadia tanzania katika umaskini wetu. Waziri mkuu wa kanada aliwahi kutamka kuwa makampuni ya nchi yake yanavuna sana nchini kwetu kutokana na ujinga wetu na wala yeye binafsi na serikali yake hawafurahishwi na hali hiyo, kwa vile inabidi tena wamege fundu kujza bakuli letu kiasi ambacho tungejipatia wenyewe kutokana na raslimali zetu.
Kwa taarifa yako nchi za magharibi zinataka afrika iamke haraka sana iondokane na umaskini kusudi isiendelee kutumiwa na china.
Wazungu hawainyonyi Afrika ya leo; ni waafrika wenyewe ndio wanaoiharibu Afrika yao. Wazungu hawa hawakuchukua madini yetu kwa nguvu, bali tuliwapa. Makampuni yote ya madini yaliyoko Afrika siyo makampuni ya serikali za kwao, ni makampuni ya watu binafsi. Serikali zao hazifaidiki lolote na makapuni hayo kupata faida Afrika ukiachia mbali capital gain tax ya raia walio na hisa katika makampuni hayo; makapuni yenyewe hayawezi kulipa kodi kwa mapato yaliyopatikana Afrika kwa vile wanategemewa kuwa wamelipa kodi huko walikopatia faida. Ndiyo maana makampuni mengi ya magharibi yalipohamia China nchi za magharabi zitokwa jasho la damu kimapato, na china ikapanda sana kimapato.sikubaliani na wewe mataifa ya nje yanajua kila kitu na wanafanya makusudi kutunyonya! Hakuna anayetuonea huruma zaidi ya kutufilisi tuu na kutumia ujinga wetu kama daraja lao!
Bado inawezekana kwa hoja Bungeni.
Bado inawezekana kwa hoja Bungeni.
Hayo ni mawazo yako; mali inayoibwa Tanzania na makampuni ya Kanada haimsaidii mlipa kodi wa Kanada ambaye ndiye anayetoa dola zake kuisadia Tanzania katika umaskini wetu. Waziri mkuu wa Kanada aliwahi kutamka kuwa Makampuni ya nchi yake yanavuna sana nchini kwetu kutokana na ujinga wetu na wala yeye binafsi na serikali yake hawafurahishwi na hali hiyo, kwa vile inabidi tena wamege fundu kujza bakuli letu kiasi ambacho tungejipatia wenyewe kutokana na raslimali zetu.
Kwa taarifa yako nchi za Magharibi zinataka Afrika iamke haraka sana iondokane na umaskini kusudi isiendelee kutumiwa na CHINA.
sikubaliani na wewe mataifa ya nje yanajua kila kitu na wanafanya makusudi kutunyonya! Hakuna anayetuonea huruma zaidi ya kutufilisi tuu na kutumia ujinga wetu kama daraja lao!
Nafikiri hata majirani zetu pia wamefurai. Nchi nyingi zinapenda kushirikiana na sisi kwa sababu viongozi wetu hawajali rasirimali zetu. Dr. Slaa ,kampeni zake lazima ziliwatingisha wanyonyaji, alisema anagombea urais wa Tz sio Africa mashariki, Tanzania kwanza mengine baadaye na rasirimali zetu zinufaishe Tz kwanza. Msimamo kama huu lazima utaogopwa na wanyonyaji. Na nchi nyingi za magharibi ni wanyonyaji na 1.
Kichuguu, naheshimu mawazo yako ingawa naamini unahitaji kujielimisha zaidi kuhusu Aid configuration na neo colonialism. You need sound analytical powers. Je una taarifa kwamba balozi wa Canada Hapa nchini alikuwa anafanya active lobying kwa wabunge wetu wakati wa kujadili ripoti ya haji bomani na wakati wa mapitio ya Sheria ya madini? Unaelewa kwamba ni balozi wa Norway Hapa tz ndiye alikuwa achitect wa muafaka wa Zanzibar kwa sababu ya maslahi ya makampuni ya mafuta ya Norway Hapa tz?
Hivi kwa mawazo ya wachangia mada; ni kwamba dr slaa anatishia nchi za magharibi?
Kichuguu amechangia vizuri sana, tena kwa kuweka arguments za maana.
Kuhusu suala la kulipa kodi kwao, watalipa where they have done a taxable activity kwao. Kuna mambo ya offshore siku hizi.
Ametanabahisha kuwa private sector ndio mara nyingi inayotafuna hela.
Kuhusu mabalozi kuwa frontline, wanakuwa wanafanya hivyo kama agents wa walemabepari; wanakuwa ama wamewakamatisha au wana maslahi nao.
Sisi wenyewe ndio wajinga; tuerevuke.
Dr slaa ameshindwa kutishia majimbo ya clergy wambakishe, ataweza kutishia mataifa?
Gurudumu,
Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe kama tunakubaliana na kila wanachotuambia, mfano mzuri Singapore, Malaysia wao wananyonga tu wahalifu hata ubalozi uombe vipi... lakini bado nchi za magharibi zinawaheshimu, sisi tunashindwa nini kusimamia maslahi yetu wenyewe? Wahenga walisema usipojiheshimu, hutaheshimiwa! Hebu fikiria waziri mzima anakimbiza mabosi wa makampuni ya madini mpaka ulaya hotelini ili wasaini mikataba, halafu tunategemea watuheshimu kweli? Wawekezaji hawaji kutuletea maendeleo wao wanachojali ni kutengeneza faida as much as they can, sisi badala ya kuwabana tufaidike kisawasawa na uwekezaji wao tunawachekeachekea tunaridhika na 3%, heshima itoke wapi? Sorry for venting, lakini kwa kweli inaudhi sana...