Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
Kama kuandika tu ni kazi kuelewa itakua rahisi?
Babu bibilia " imesema kuwa sema kweli na kweli itakuweka huru" ikiwa haya ni maneno ya roho mtakatifu mbona muna yapinga ?, kuna kiongozi wa Africa si kumbuki kama syo mandela basi ni ntutu , ikiwa kuna pande mbili za kuchagua kati ya anaye onewa ( kudhulumiwa) na anaye muonea mwen zake ( dhulumu) na ukaambiwa uchague upande wa ku supports na ukaamua kukaa kimya basi wewe upo upande wa anayedhulumu , na ndio nyie
 
Umeona sasa hapo ndipo munapokosea sana na uislamu unashinda kweupeee, sasa kumbe Vatican si lolote ktk ukristo lakini je hili mwa watangazia waaumini wenu wazi wazi?, na hili la ukatoloki ni kaji sehemu tu ktk ukristo yaani hauja kamilika , waambie watu tena kwa sauti ili waelewe na papa syo kiongozi wa ukristo , sasa hebu tupe mafundisho ukristo wa kweli upo wapi?, na nani kiongozi wao ?, tafadhali
Yesu ndio kiongozi wa Wakristo, papa sio kiongozi wa Wakristo bali ni kiongozi wa Wakristo wakatoliki. Wasio wakatoliki hana mamlaka nao na awapo chini ya Papa.
 
Si kosa la kisheria bali la kidini, sheria za Kikristo haziongozi nchi hizo.
Usingizie dini kwanza , juu ya ushoga magharibi syo kosa la ukristo kwa maana madhara ya ushoga yameoneshwa ktk bibilia bali2 kosa ni la viongozi wa ukristo huu akiongozwa na papa , na vatican kwani wao ndio wenye ushawashi mkubwa wa kiimani magharabi
 
Yesu ndio kiongozi wa Wakristo, papa sio kiongozi wa Wakristo bali ni kiongozi wa Wakristo wakatoliki. Wasio wakatoliki hana mamlaka nao na awapo chini ya Papa.
Ndugu yangu hayo ni maneno ya faraja tu ila hayana ukweli au uzito wowote, papa ndio kiongozi wa ki kristo mwenye ushawaishi mkubwa duniani, ndiye anaye sikilizwa na kuaminiwa na yeye ndiye anaye dhulu dunia na akila ana potembelea nchi hupewa ulinzi na stahiki zote kama supreme leader pia hutumika ktk usuluhishi , sasa nitajie kiongozi mwengine mwenye sifa kama hzo wa ukristo
 
Yesu ndio kiongozi wa Wakristo, papa sio kiongozi wa Wakristo bali ni kiongozi wa Wakristo wakatoliki. Wasio wakatoliki hana mamlaka nao na awapo chini ya Papa.
Alafu pia toa andiko yesu alipo sema yeye kiongozi wa wakristo duniani , alafu nakuomba uelewe kuna ukristo na uyahudi ni vitu viwili tofauti
 
Alafu pia toa andiko yesu alipo sema yeye kiongozi wa wakristo duniani , alafu nakuomba uelewe kuna ukristo na uyahudi ni vitu viwili tofauti
Yohana 14.6.Mimi ndie njia ya kweli na uzima..... Wayahudi sio Wakristo wala si wafuasi wa Kristo
 
Ndugu yangu hayo ni maneno ya faraja tu ila hayana ukweli au uzito wowote, papa ndio kiongozi wa ki kristo mwenye ushawaishi mkubwa duniani, ndiye anaye sikilizwa na kuaminiwa na yeye ndiye anaye dhulu dunia na akila ana potembelea nchi hupewa ulinzi na stahiki zote kama supreme leader pia hutumika ktk usuluhishi , sasa nitajie kiongozi mwengine mwenye sifa kama hzo wa ukristo
Papa ni kiongozi wa taasisi ya kidini na sio kiongozi wa Wakristo
 
Usingizie dini kwanza , juu ya ushoga magharibi syo kosa la ukristo kwa maana madhara ya ushoga yameoneshwa ktk bibilia bali2 kosa ni la viongozi wa ukristo huu akiongozwa na papa , na vatican kwani wao ndio wenye ushawashi mkubwa wa kiimani magharabi
Wapi Ukristo umeruhusu ushoga kwenye maandiko
 
Amen. Kristo alisema mjifunze kutoka kwangu, nashangaa mtoa mada anamuongelea papa ambaye Ni bainadamu na kiongozi wa dini ya kikatoliki.
Mkuu sijui niwapi atakuletea kauli ya pope akisema Ushoga ni halali, hana wala hajawai kusema watu wabanduane kauli yake ilikuwa ni " Tusiwabague/ Tusiwatenge bali tuwaweke karibu tuwafundishe ubaya wa matendo yao ili waweze kutubu na kusamehewa"

Tambua kwenye Ukristo mwenye hukumu ni Mungu siyo mwanadamu na Ukimtega mwenye kufanya Ushoga uku umezungukwa na Wazinzi, wezi na wachawi kwa Mungu hujafanya kitu maana zote ni dhambi wala Mungu hatokupatia zawadi yoyote kwa kumtenga mwenye dhambi bali atakuongezea dhawabu ukimuongoa mwenye dhambi.

Mwisho; hakuna nchi ya Kikristo bali kuna nchi zenye wakristo wengi. Ulaya kote wanaongozwa na katiba zao siyo Bible wala Quran, Huwezi kutumia mambo ya kwenye vitabu vya Dini kuwahukumu wananchi wako unless hivyo vitabu viwe ndo katiba zenu Kama zilivyo Islamic states Kama IRAN. Kuna watu hawaamini katika hizi vitabu wana Imani zao labda zinawaambia Ushoga ni halali ndiyo maana wazungu wanaamua kuwa neutral anayeona ni halali afanye anayeona dhambi apotezee.
 
Laana ya uislamu ilianza pale mohammed aligegeda katoto ka miaka tisa, ndio maana mpo kingono ngono kwenye mawazo yenu muda wote, na mnajilipua mabomu kisa kwenda kufurahia ngono, Pwani yote ya waislamu imetamalaki ushoga, halafu hakuna nchi ya Kikristo.
 
Waarabu na wafuasi wao ndio mabingwa wa ufiraji na ufirwaji ndo maana hiyo michezo michafu imeenea sana ukanda wa pwani ambako ndiyo makao Yao makuu mfano utasikia ANTI ABUU, ANTI ATHUMAN, ANTI ABDALLAH etc Si rahisi ukasikia Anti Joseph hata kama tutabishana kila mtu akumbuke jina la shoga yeyote maarufu hapa Tanzania lazima wengi watakuwa swala tano hata mleta mada usikute ni Anti fulani, habari wanawake kuzibuliwa mitaro ipo pwani hata huko Kwa MPALANGE ni dini Gani wamejaa huko utapata jibu pia mabasha wengi na wabashuliwaji pia ni hawo hao wafuga midevu wa pwani kama kuna anaekataa tuanze kuweka majina ya mashoga maarufu hapa tz ambao walitikisa miji ya DSM na Tanga ili tumalize mjadala.
 
Labda nikuulize mfano mdogo tu Tz,ushoga umeenea wapi? Kama siyo Coastal regions ambako ndiko chimbuko la uislam?
Tumia akili japo kidogo, tunazungumzia dini kukubali na kushadadia ushoga, hatuzungumzii mtu binafsi
 
Cha kusikitisha ukristo haupingi vikali hili , wenyewe wapo tu passive sasa ni sawa na kuunga mkono tu
Mkuu tofautisha mtu mweupe (mzungu) na Ukristo.
Mkristo ni mtu anayefuata na kuishi matendo ya KRISTO (YESU).
Ushoga ni roho (spirit) ya shetani ambayo haina dini bali iko kinyume na taratibu za MUNGU (nature). Ushoga ni tendo la kishetani ambalo ukemewa na waumini wa dini za Kikristo na Kiislam.
Pia most of the Whites they neither Christian nor Muslim, they live their own life without fear of God.
Hivyo ukiona whites wa nataka haki ya kutafunwa ujue hao ni wao wali hawako affiliated na Ukristo ama Uislam
 
Waarabu na wafuasi wao ndio mabingwa wa ufiraji na ufirwaji ndo maana hiyo michezo michafu imeenea sana ukanda wa pwani ambako ndiyo makao Yao makuu mfano utasikia ANTI ABUU, ANTI ATHUMAN, ANTI ABDALLAH etc Si rahisi ukasikia Anti Joseph hata kama tutabishana kila mtu akumbuke jina la shoga yeyote maarufu hapa Tanzania lazima wengi watakuwa swala tano hata mleta mada usikute ni Anti fulani, habari wanawake kuzibuliwa mitaro ipo pwani hata huko Kwa MPALANGE ni dini Gani wamejaa huko utapata jibu pia mabasha wengi na wabashuliwaji pia ni hawo hao wafuga midevu wa pwani kama kuna anaekataa tuanze kuweka majina ya mashoga maarufu hapa tz ambao walitikisa miji ya DSM na Tanga ili tumalize mjadala.
Duuu, wakristo wanafumuliwa mitaro hadi mapadri na maaskofu
 
Kama kweli wana pinga basi thibitisha hapa hapa , yaani unataka kunambia ukiwa. ITALY au ukiwa ISRAEL jinsia moja yaani mwanaume na mwanaume kuingiliana ni kosa la kisheria tena unapewa ajabu au kufungwa , thibitsha hapa , acha uongo bibilia imekataa uongo na hutokua huru dunia na huko ukifa
Mkuu Israel Wakristo ni wachache kuliko Waislamu (about 2%). Tofautisheni mzungu na Mkristo
 
Upumbavu mtupu umesema unaheshimu dini ila hapa naona kejeli et laana yao sa ndo nini?

Kama ilivyoandikwa na kusema katika biblia ya kwamba yatupasa sana kujichunga katika zama za mwisho hizi kwani shetani atatafuta kila njia kuuchafua ukristo

Pili hujiulizi kwanini mambo Mengi mabaya au dhambi zimeuandama ukristo nikwasababu ya Kweli yake yeyote atakayefata dini atapotea ila kwa yule atakaye fata mienendo ya kristo na kulielewa vizuri neno basi kheri kwake

Kuwa kristo ni kuwa adui wa moja kwa moja na shetani yupo tayari kuuwa roho 1000 ili akufanye ukengeuke

Sio sawa na huko gizani mlipo ninyi ni wake na yupo kuisubiri Roho yako tu wala haangaiki na wewe
Mkuu Ukristo ni upendo. Cool down mpe elimu taratibu
 
Sawa, lakini kumbuka nchi za kiarabu zinakemea vikali jambo hili, na endapo utagundulika, mara moja utachkuliwa hatua. Nchi za kikristu watu wanaoana kabisa.
Mkuu inchi nyingi za Kiarabu zinaongowa na Misingi ya Dini ya Kiislam ila hakuna inchi ya Kikristo (tofautisha mzungu na Mkristo)
 
Kwanza una chuki tu na roho mbaya , unajifanya huyaoni kwani , wewe ni mufilisi wa fikra na mawazo na unajitia hamnazo , sheria hzo za ushoga zipo magharabi na huo ndio ukweli ila pia usisahau makao makuu ya ukristo yapo huko huko
Mula.neno letu tunalotumia kuita mabash.linatokana na Mullah.
Kwanza una chuki tu na roho mbaya , unajifanya huyaoni kwani , wewe ni mufilisi wa fikra na mawazo na unajitia hamnazo , sheria hzo za ushoga zipo magharabi na huo ndio ukweli ila pia usisahau makao makuu ya ukristo yapo huko huko
Mula.neno letu tunalotumia kuita mabasha linatokana na neno Mullah. Haya sema tena mimi nasingizia watu.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Wakristu ni wajanja sana na wanarumia akili sana kufanya mambo yao. Ukizuia ushoga utaenea kimya kimya na kwa kasi. Nchi za Mashariki ya Kati zinapinga kwa nguvu kubwa ushoga kwenye nchi zao, lakini vitendo hivyo vinafanyika kwa kiwango kikubwa na cha kutisha.

Afrika na Tanzania ikiwemo, jamii haitaki hata kuongelea ushoga hadharani lakini hakuna mji nchi hii ambao hauna mashoga. Tena mashoga wenyewe na wateja wao ni wanajamii hiyo hiyo inayopinga ushoga kwa nguvu zote!
Heri ya nchi za Magharibi walioamua kusema fanya kwa hiari yakona acha kwa hiari yako maisha yaendelee kuliko unafiki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom