Ndio uweke hapa ni mabilioni kiasi gani?
Nayekaza mishipa mimi au wewe??Ok kwa kuwa umekaza mshipa wacha nikutwange na facts.
Israel ni nchi inayoongoza kwa density ya startups za teknolojia ya kilimo, Nchi ndogo lakini kuna starups 400 zimeminyana humo
Netafim ni kampuni ya Israel inaongoza duniani kwa teknolojia za umwagiliaji na kilimo cha kidijitali
Katika ukanda wa nchi za kiarabu, Israel pekee ndio nchi iliyomo kwenye orodha kibao za nchi duniani kiujumla zinazofanya vizuri kwenye teknolojia za kilimo, hata Iran hasogelei.
Aina ya teknolojia uliyoleta ni ile ile moja tu ya kilimo cha jangwani.
Kuhusu Netafim sikupingi naifaham hii kampuni inaunda vifaa vingi na bora vya irrigation agriculture.