Haswaa! Hapo umeongeaKwa mwendo huu bora Muungano uvunjwe Wazanziberi warudi kwao na Watanganyika turudi kwetu, TUIJENGE TANGANYIKA YETU!
mimi sio mtanganyika,
sikuzaliwa Tanganyika,
maana ya neno Tanganyika, siijui,
Tanganyikailitoka wapi, sijui,
ilibatizwa jina na nani, sijui
nilizaliwa Tanzania,
nilizaliwa Afrika
nilizaliwa duniani
nlizaliwa na mwanadamu
kwa hiyo;
mimi ni mtanzania
mimi ni mwafrika
mimi ni mdunia
mimi ni mwanadamu
maana ya Tanzania, najua
maana ya Afrika, najua
maana ya Dunia, najua
maana ya mwandamu, najua
nawauliza wazanzibari,
nini maana ya Zanzibari,
nani aliipa jina Zanzibari,
kwa nini wajivunie uzanzibari?
kwa nini wasijivunie utanzania?
Swali zuri sana.
Tuendele kuitwa TANZANIA.
Nchi imeshabadilishwa majina mara nyingi mno. Kurudia jina la Tanganyika ni utumwa. Kama lazima kurudia majina ya kikoloni, basi ni bora turudie jina la kuanza kabisa alilotuachia muasisi wa kweli wa taifa, Karl Peters, yaani German East Africa.
Kwanza kuabudu mno mstakabali aliotuachia Muingereza ni dalili ya kutoelewa hii nchi imetokea wapi na inaenda wapi. Mjerumani alitawala hili taifa vizuri zaidi kuliko muingereza, Muingereza alipewa koloni na UN alisimamie tu mpaka litapoweza kujitawala, hivyo hakufanya chochote kuliendeleza hili koloni.
pole sana kwamwewe!!
Njoo na hoja zinazoelerweka, sio kila kitu useme "nyerere" mwalimu sasa ni marehemu, njoo na hoja hai na tutazijadili. Tuambie ni kwa nini tuikatae tanzania tuliyozaliwa na kwa nini tuirudie tanganyika ya wakoloni na "wauza watumwa'!
Tuambie kwa nini tuililie nchi ambayo mipaka yake ni ya kikoloni na ya kitumwa, kwa nini tuikane nchi amabyo mipaka yttake ni ywa kizalendo na kizawa iliyochorwa na mwalimu nyrere na sheikkh abedi amani karume!
Tuambie mpendwa,
tuambie kama unapinga mambo mema ya kwetu kwa sababu ya hasira za kuwekwa gerezani au ni kwa sababu ya uzalendo?
Ubarikiwe sana mpendwa,
glory to god!
Jamani watanganyika wenzangu ila hamna haja ya kuwaachia hao midebwedo kale ka-nchi kao kwani nasikia kana mafuta na gas so ni vyema tukachimba ss weeee, alafu tukimaliza ndo tuwape wauwane pia tutakuwa tumefidia gaharama za makanisa na bar zilizochomwa kule kwao.
Mtapewa hiyo Tanganyika na kuanza kutafuta mchawi mwingine, mtasema watu wa Pwani wavivu, tunataka wabara wajitenge.
I am not knocking the idea that people should be able to decide.I just want to lower people's expectations.Kama mnafikiri kujitoa kwenye muungano ndio mnatatua matatizo yenu jueni hilo.
Nimefuatilia sana maelezo ya watu wa Zanzibar na nikaja kugundua kuwa wana haki ya kudai nchi yao. Maana kama serikali na ya muungano basi Nchi mbili huru zimeungana. Kwa hiyo ni vyema wadai nchi yao. Hivi niwaulize Watanganyika;......uko na mtu unayewatangazia Ulimwengu kuwa ni nduguyo lakini mtu huyohuyo anautangazia ulimwengu kuwa wewe unalazimisha undugu na wewe ni mwizi wa raslimali zake.....wewe unamnyonya.....kwa nini uendeleee kumkumbatia.
Kwa hali hii inabidi tusiulazimishe undugu.....ni muda wa sisi Watanganyika kupinga kudhalilishwa na ndugu huyu asiyetaka huo undugu.
Ushauri ni kuwa......Njia waitumiayo wazenj si nzuri sana. Jengeni hoja mwisho mtafanikiwa. Lakini kwa upande mwingine nawapongeza maana kwa serikali yetu ya sasa unaweza kusema mpaka siku 100 mfululizo na hakuna wa kukusikiliza.
Wito wangu kwa Watanzania ni kuwa inabidi tujipime.......maana madai yao yameandikwa hadi kwa makala ya Kiingereza watu wa nje wanasoma na matokeo yake tunaonana na kuonekana wabaya. Nimeona comment za nchi jirani zetu hususan Malawi...wakisema Uroho wa Tanzania sio wa leo maana hata wenzetu
Ulitaka tufanyaje. Mbona ni simple calculation, wakishapata nchi yao na sisi tunapata ya
kwetu