Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Nchi yetu inaitwa Tanganyika

nafurahi kusikia kama kuna Watanganyika wenzangu huko mitani.That very good. why should we insist to be Tanzanian when our friends are not interested. Please cabinet members lets break this union and go our way,what are we missing by being Watanganyika? Our friends on the other side are benefiting on our friendly hand we are showing them.With them one member of Parliament represents only 20,000 people while this way one member has 300,000 is this equality? Leaders do what is good for this nation before we appear to our own children to answer this case of joining people who are against the union.
 
A%20S%20465.gif
:A S 465:nawsha taa kusema jamani ni wakati muafaka nchi hizi mbili kutegana ingawaje dunia inaungana lakini sisi na znz tuachane salama tubakie majirani wema.Ebu kweli mwalimu alikuwa na haki ya kuunganisha nchi hizi bila lidhaa ya waTanganyika wa wakati huo na sisi sasa tumo katika mawazo ya watu wawili.Hapana ebu tufanye mchakato wa kutafuta ukweli sehemu zote mbili. Tumepata machungu mengi sana kuwa na hawa jamaa ni wakati wakuachana. Bwana Jakaya ebu tusaidie kumaliza maumivu haya ni wewe tu ambaye unajua la kusema na kufanya tunakupa jukumu hilo mkuu.
 
Dr.Silaa wewe ni msomi uliye bobea unaonaje mambo haya kudai katiba ukasahau nchi unataka kutumia hiyo katiba wapi bila nchi mheshimiwa?Naomba unisaidie kusema. Ukweli ni wazi sisi ni wa-Tanganyika haya mambo yakujipachika tuchane nayo turudi nyuma kwa babu zetu na tujikomboe na udikteta wa waanzilishi wa taifa hili.Nawapa heshima sana lakini nataka Tanganyika tupewe au turudi kuitwa wa-Tanganyika mbona itakuwa furaha sana,Dr.Silaa nategemea kusikia tamko lako kuhusu ilo.
 
Dr.Silaa wewe ni msomi uliye bobea unaonaje mambo haya kudai katiba ukasahau nchi unataka kutumia hiyo katiba wapi bila nchi mheshimiwa?Naomba unisaidie kusema. Ukweli ni wazi sisi ni wa-Tanganyika haya mambo yakujipachika tuchane nayo turudi nyuma kwa babu zetu na tujikomboe na udikteta wa waanzilishi wa taifa hili.Nawapa heshima sana lakini nataka Tanganyika tupewe au turudi kuitwa wa-Tanganyika mbona itakuwa furaha sana,Dr.Silaa nategemea kusikia tamko lako kuhusu ilo.

Mimi sio Slaa lakini naona unamuuliza swali ambalo unapaswa kujijibu wewe mwenyewe. Katiba siyo ya Slaa wala nchi siyo ya Slaa. Katiba na nchi ni vyetu tuliokubali kuitwa watanganyika. Unaposema Slaa anadai katiba na sio nchi una maana gani? Dr Slaa aligombea urais wa nchi hii kwa katiba hii hii na anatekeleza sera za chama chake cha CDM chenye kuhimiza majimbo ndani ya Tz. Pengine huo ungekuwa mwanzo mzuri wa kurejesha Tanganyika kama Slaa angeukwaa urais! lakini naamini hata JK akitaka, Tanganyika itakuja. Na wasipotaka tutaileta Tanganyika yetu sisi wenyewe na wala si watoto wetu. Mungu ibariki Afrika. Mungu ibariki Tanganyika.
 
[h=6]It's a public holiday in another country..and here we are, not going to work!
[/h]12th Jan 2012
 
Kwanini Wabara hawapendi kuitwa wabara, watanganyika lakini wanapendwa kuitwa Watanzania? Kwa nini waZanzibari hawapendi kuitwa Watanzania wanapendwa kuitwa Wazanzibari?
 
Kwa takribani muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali humu Jf. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu juu ya mambo mbalimbali kuhusu harakati zetu sisi watanzania nimekuja kutambua kwamba tuna matatizo makubwa sana kama taifa. Lakini moja ya jambo nililojifunza ni kwamba: WE ARE GOOD PRETENDERS, GOOD DISGUISERS, GOOD PUPPETS OF LEADERSHIP AND GOOD FOLLOWERS BUT VERY BAD LEARNERS. Lakini hoja ya msingi hapa ni kwamba mfumo mzima wa elimu hapa Tanzania hautufanyi kuwa na hazina kubwa ya vijana ambao ni GREAT THINKERS kwa maana ya kutambua mahitaji ya nyakati. Our minds ziko configured na zinatumia hizi configuration za kimagharibi. Nimewahi kuona mitihani ya wanafunzi wa UDOM ya kuchagua A,B,C katika mtindo huu sidhani kama tunaweza kupata vijana ambao wanaweza kudevelop intellectual and moral ideas ambazo zina tija katika kujenga taifa letu zaidi ya ku "copy" and "paste" ideas za kina Marx, Nurkse n.k. Tumenakili mfumo wa kingereza kwenye mfumo wa elimu yetu ambao haumjengi kijana wa kitanzania kuweza kulitumikia taifa kwa ufanisi badale yake kuwatumikia wenzetu wa nchi za kimagharibi. Waingereza wanaanza kuwa "configure" vijana wetu kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu ni hivyo kufuata configaration za kiingereza badala ya kitanzania.

Lakini vilevile tuna viongozi ambao ni "Idealistic" na sio "realists" kutokana na kuwa na jamii dhaifu ambayo haina utamaduni wa kupata habari kwa maana ya kupata maarifa. The foundation of knowlerge is information na ili uwe na skills lazima uwe na knowlerge, wakati jamii za wenzetu zikihubiri mipango ya kiuchumi na kiteknolojia sisi tunaendekeza majungu ya udini na ukabila katika harakati zetu za kisiasa. Tumeendekeza siasa za majungu badala ya mipango yenye tija na hapa namaanisha practicable plans sio nadharia za mipango. Tuna BBC Leaders(Born Before Computers) ambao hata hiyo teknolojia ninayoongea imepita pembeni.LACK OF VISION. Fikra za baadhi ya viongozi wetu zimeelekezwa kwenye misaada lakini cha kushangaza zaidi hata hao wanaotupa misaada wanashangaa inakwenda wapi? Wanachoshindwa kutambua kwa dhati viongozi wetu ni kwamba dunia ipo kwenye riadha, ni mashindano yasiofuata taratibu, ni mashindano yaliyojaa rafu na bila kuwa na viongozi wenye upeo na maono taifa litaangamia. Viongozi wengi wa Tanzania wamezoea kuimba na kujisifia kuwa tuna rasilimali nyingi mithili ya vijana wa bongofleva wanaojisifia na kujifanya ni wanamuziki kumbe ni waimbaji. Mwanamuziki hutumia midundo halisi kupiga muziki wake na ndivyo ilivyo kwa viongozi makini wanaotumia fikra pevu na busara kujenga Tafa lao bila kutegemea midundo ya kibeberu. Rasilimali hazina maana kama hazitumiki ipasavyo kwa maendeleo ya wazalendo. Ni sawa na mkichaa anayekufa kwa kiu wakati yupo kwenye maji mengi.

Tumedhihirisha msemo wa wahanga kwamba “Kwenye miti mingi hakuna wajenzi”, viongozi wetu wa kisiasa wanapenda kutukuzwa kwa kile wanachikiita “tumepiga hatua kubwa sana” kwa sababu wanaamini wananchi hawana habari juu ya yale wanayoyaita maendeleo makubwa kwa kuwa hawana utamaduni wa kutafuta habari kwa ajili ya kupata maarifa ya wenzetu duniani. Kwa kuwa wao wamekula basi wanajua kila mtu amekula.

Kutambua ukweli ndio njia ya kuamsha fikra na kuamini matendo chanya, kukubali ukweli wa maisha na kupambana kubadilika kuelekea kwenye mafanikio zaidi. Wakati tunaelekea kusherekea miaka hamsini ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuelekea miaka mingine hamsini ya Tanganyika lazima kwanza tukiri tuna matatizo makubwa na sio changamoto na kubatiza taifa letu upya na kupata viongozi wenye upeo, maono na uadilifu. Taifa letu linahitaji fikra za mabadiliko kuanzia kung’oa mfumo wa utawala unaolinda mafisadi kuelekea fikra za uzalendo zinazong’a dhulma za uaribifu wa mali za umma, uhuru ulio huru unaozingatia haki za raia kulinda tunu za taifa ikiwepo uzalendo na uwajibikaji, kueneza fikra na njia mwafaka zenye tija (practical and workable solutions) pamoja na kujenga jamii yenye filkra pana.

unaozingatia haki za raia kulinda tunu za taifa ikiwepo uzalendo na uwajibikaji, kueneza fikra na njia mwafaka zenye tija (practical and workable solutions) pamoja na kujenga jamii yenye filkra pana.
 
wanaojivunia uZanzibar hawanazo sie twajivunia uTanzania thats all.....leo muungano ukivunjika Zanzibar HAIPO bali kutakua na tujivisiwa vidogooooo i can call them just ISLETs yani PEMBA na UNGUJA so wasijidanganye kwakujivunia upupu....ni kweli matatizo ya muungano yapo lakini ndo isiwe kigezo... tumeshazaliana, tumeoana so wafikirie mara mbili mbili....UNITY FOREVER may GOD BLESS TANZANIA
 
Moja kati ya mambo yanayonifanya niichukie CCM na serikali yake ni kitendo cha kuamua kuizika nchi yangu ya Tanganyika huku wakitukuza huu muungano na Wazanzibar na kutulazimisha kulitumia jina la Tanzania.
Wakati wazanzibar wakiwa na serikali yao, wimbo wao wa taifa, bunge lao na hata bendera yao sisi Watanganyika tumekaa tuu tukishuhudia serikali hii ya CCM ikiiua nchi yetu, bendera yetu, wimbo wetu na utambulisho wetu.
Najiuliza hivi, mfano huu muungano ukivunjika leo hii, Watanganyika tuna historia gani ya kuwaeleza wanetu na Wajukuu zetu kuhusu Tanganyika? Upo wapi utamaduni wa Mtanganyika? Hivi kwa nini ni kama kosa kutaja Tanganyika?
Wenzetu wana kila kitu chao na wanajinasibu kama Wazanzibar wenye tamaduni zisizoingiliana na Watanganyika, lakini sisi tumekubali kuchotarisha nchi yetu na tamaduni zetu kwa ujumla.
Ifike hatua na sisi tuanze kudai Tanganyika yetu. Tudai bendera yetu (ambayo nadhani anayeitambua vizuri na kuiheshimu kwa sasa ni Mtikila pekee), wimbo wetu wa taifa, na bunge ambalo litajadili mambo ya Tanganyika pekee sio hili ambalo limejaa Wazanzibar tele wakituamulia mambo yetu ya ndani.
WAKATI WAZANZIBAR WAKIANDAMANA KUTAKA HUU MUUNGANO UVUNJIKE NADHANI NI MUDA SAHIHI KWA WATANGANYIKA NAO TUFIKIRI KUITAFUTA TANGANYIKA YETU ILIPOTUPWA.
 
WAKATI WAZANZIBAR WAKIANDAMANA KUTAKA HUU MUUNGANO UVUNJIKE NADHANI NI MUDA SAHIHI KWA WATANGANYIKA NAO TUFIKIRI KUITAFUTA TANGANYIKA YETU ILIPOTUPWA.
Chilli don't worry let them grab theirs the rest will be ours.
 
Aliyeizika Tanganyika si CCM. Ni Nyerere na ilikuwa kabla ya CCM kuzaliwa kwa miaka mingi sana, Tanzania ilianza mwaka 64. CCM ilianza lini?

Fikiri.
 
Watanganyika ni waoga wa kila kitu. Kazi yao ni Domo reeeefu bila ya vitendo, maneno meeeengi vitendo vichache. Usishangae ndio maumbile yao, ndio maana wakaitwa Wadanganyika. Mtanganyika aliyebaki ni mmoja tu Mch. Mtikila. Wengine wote ni Nguvu mdomo tu. Eti waache wao wadai, itakayobaki ndio yetu. Pumbav. UMOJA NI NGUVU. Kila upande udai haki zake tuone kama haitorudi Tanganyika na Zanzibar. TUAMKE KUMEKUCHA HAKUNA KULALA. Wadanganyika.
 
Jamani ninavyouchukia muungano....natamani hata leo ufee,hauna faida yeyote kwa wananchi wa tanganyika zaidi ya viongozi ndo wanaufaidi
 
Wanaulinda Tanzania kwa dola ujiulizi kwann wanakataa isizungumzwe kwenye katiba mpya
 
wanaojivunia uZanzibar hawanazo sie twajivunia uTanzania thats all.....leo muungano ukivunjika Zanzibar HAIPO bali kutakua na tujivisiwa vidogooooo i can call them just ISLETs yani PEMBA na UNGUJA so wasijidanganye kwakujivunia *****....ni kweli matatizo ya muungano yapo lakini ndo isiwe kigezo... tumeshazaliana, tumeoana so wafikirie mara mbili mbili....UNITY FOREVER may GOD BLESS TANZANIA

Kama ni kuungana, tayari tulikwisha unganisha Tanga, Mwanza, Mtwara, Songea, Kigoma, Arusha, nk na kupata Tanganyika. UNITY FOREVER may GOD BLESS TANGANYIKA!!!!
 
Jamani ninavyouchukia muungano....natamani hata leo ufee,hauna faida yeyote kwa wananchi wa tanganyika zaidi ya viongozi ndo wanaufaidi

Ubaguzi utawamaliza! Hivi unajua Tanganyika ilikumuisha Rwanda na Burundi au Tanganyika ipi muitakayo?
 
Idiot. Find your identity. Usisubiri watu wengine wakutafutie Tanganyika yako. AMKA ACHA KUWA NA AKILI MGANDO.

Madhara ya ukoloni haya! Tunaamini kilichoundwa na mkoloni ndio "identity!" Kaazi kweli kweli!
 
Hivi Tanzania ilianzaje? Kulikuwa na ushirikiswaji wa wananchi? walishirikishwaje, Kupitia bunge? Wanasheria wakuu walihusiswa? Je watanganyika walikubali nchi yao ifutwe. Hivi kwanini bunge lilipendekeza serikali tatu likapigwa biti. Jumbe alifanya kosa gani?

Pan-African News Wire: Tanzania: Group Files Case Challenging Zanzibar Union
http://mtwarakumekucha.blogspot.com/2009/05/paper-by-prof-haroub-othman.html


"Wolf Dourado, is said to have been sent on a one-week ‘leave' and instead a Ugandan lawyer, Dan Nabudere (according to his own account which was corroborated by Babu), was brought in to advise Karume on the draft submitted by Tanganyika."
http://www.zanzinet.org/files/legality_union.pdf


The then Zanzibar Attorney General Mr. Wolfgang Dourado publicly claimed that:
"No law ratifying the Articles of the union of 1964 exists on the statute books of
Zanzibar."
He further added:
"………….. The Principal Legal adviser to the Zanzibar government was not
consulted ……… Zanzibar therefore did not have legal or constitutional advice from
its Principal Legal adviser."

But Bagenda has different opinion on the ratification by Tanganyika Parliament. He says:
"…it is true that Zanzibar never ratified the Articles, but even Tanganyika Parliament
was just a TANU's rubber stamp……."


It seems there is a hidden problem. For us to strengthen the union, it should be included in the item subject to discussion in the new constitution development.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom