- Thread starter
- #21
Miaka ya 90 Waziri wa Utalii wa Kenya alikua Mzungu. Aliwasaidia kuweka mifumo ambayo mpaka sasa inawapa faida.
Hebu waza mtalii anaondokaje hajaonja korosho kwenye meal yake, na aelezwe faida ya hii ni hivi na vile. Ukijaribu kuwaza kwa mfano bandari pekee ilitosha kutupatia mapato makubwa mno sasa kwenye huduma unaweka tozo na bei kubwa unadhani kuna mtu atakuja kwako lazima atafute kwenye unafuu, Wajapan wale wanaouza magari USED mtu anashindwa kujiongeza kwenda kuongea nao wafungue branch huku moja kwa moja ili kuwahakikishia kua bei mtazouza tanzania zifanane na japan halafu wao mnunuzi akishanunua ndio analipa zile kodi zao sasa hapo unakua nchi za kusini mwa afrika, afrika mashariki na kati unakua umeteka mahotel yatafanya biashara kubwa na watu wengi watajaa kununua magari hapa na mafuta yatauzwa maana mganda aliekua anaagiza online atakuja hapa na wa nchi nyingine watakuja tu, halafu hapounaambiwa kuna waziri wa biashara ambao hata lobying unaona hawa watu wapo tu