Nchi ya Niger yajitoa kwenye umoja wa Francophone

Nchi ya Niger yajitoa kwenye umoja wa Francophone

EAC wamepeleka mbele mpango wa kuanzishwa kwa umoja wa kifedha hadi mwaka 2031. Imagine, hadi mwaka 2031. Yaani vitu vya msingi kama hivi vinachukuliwa kiwepesi wepesi.
Ni ujinga tu, tangu jumuiya hiyo imeanzishwa hawajafanikiwa hata kitu kimoja, hayo ya sarafu moja wanafahamu hayawezekani hivyo kila ikifika mwaka waliopanga, wanasogeza mbele miaka 30 mingine kwasababu wanafahamu hayatekelezeki.

Afrika tunaweza kufisadi mali za umma na kujilimbikizia, kuua na kuwanyamazisha wanaosema na wanaotaka kusema ukweli.
 
Nchi nyingi za kiafrika zinazoongea kifaransa zima matatizo ya vita
 
Back
Top Bottom