City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,995
SureSahihi sana.
Tatizo linaanzia hapo Mkuu. Tuna kazi kubwa ya kufanya kujenga Taifa imara.
SureSahihi sana.
Tatizo linaanzia hapo Mkuu. Tuna kazi kubwa ya kufanya kujenga Taifa imara.
Kayahamishia Kongo kwasababu waliofanya Mauaji ya Kimbari wamekumbillia huko.Kakomesha mauaji wakati kayahamishia Kongo kuua wahutu. Usisahau na mauaji ya Kibeho ya mwaka 1995
Tunailipa sh. ngapi ?Nini faida za Tanzania kuwepo kwenye jumuiya ya Common Wealth? Je unajua tunailipa UK kwa kututawala?
Kagame kaondoa mauaji Rwanda akayahamishia Drc.Kagame kukomesha mauaji ya kimbari halafu akawasaidia Wakongo kuwaondolea Dikteta wa Zaire.
Haya ni mapinduzi makubwa. Nasi tujitowe Commonwealth ya mwingerezaNchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale de la Francophonie ( OIC).
Taarifa ya kujitoa huko ilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Niger mnamo jumatatu ya tarehe 17 Machi 2025.
Hata hivyo, Niger ilikuwa imesimamishwa uanachama kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika mwaka 2023.
CHANZO: Shirika la habari la Niger ( RTN)
Hivi Interahamwe zilikimbilia wapi?!Kagame kaondoa mauaji Rwanda akayahamishia Drc.
Yaani tufuate mkumbo!!?..unatukosea sana, kwamba hatuna fikra huruNi wakati sasa wa Tanzania kujitoa kwenye jumuiya ya Common Wealth
Safi.Mali na wenyewe wametoa taarifa ya kujitoa leo. Nadhani na Burkina Faso watafata mkondo maana hawa wajeshi watatu kwenye umoja wao wanafanya maamuzi yanayofanana linapokuja suala la sera ya mambo ya nje.
Ufutwe kwanza ndipo maboresho yafanyike Mkuu.Kwanini ufutwe na sio kuboreshwa iwe kama huo umoja wa Ulaya ?
Safi sana, bado sie mazezeta wa Common WealthNchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale de la Francophonie ( OIC).
Taarifa ya kujitoa huko ilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Niger mnamo jumatatu ya tarehe 17 Machi 2025.
Hata hivyo, Niger ilikuwa imesimamishwa uanachama kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika mwaka 2023.
CHANZO: Shirika la habari la Niger ( RTN)
Kwani yéyé Kagame hakufanya maauji yoyote? Kwanza kwenye Yale maauji wahutu ndio walikufa sana kuliko watusi. Lakini Kagame kafanikiwa kuaminisha dunia kwamba yéyé ni mtakatifu. Hata Kagame ana damu za watu wengi sana.Kayahamishia Kongo kwasababu waliofanya Mauaji ya Kimbari wamekumbillia huko.
Kwani watusi walioua wahutu walikimbilia wapi? Si wapo tú wanakufa bata. Walioshiriki mauaji ya Kibeho ya mwaka 1995 wengine si bado ni viongozi serikalini?Hivi Interahamwe zilikimbilia wapi?!
Umoja wa Afrika ni mradi wa EU kuhakikisha hatuendelei tunabaki tulivyo. Ndio maana hakuna jambo la maana linalofanywa na AU, kwanini wafanye jambo la maana wakati mabwana zao EU wanaolipa mishahara ya wafanyakazi wa AU hawataki tuendelee? AU itaendelea kuwa umoja wa mikutano na kupiga picha mpaka pale watakapopatikana viongozi wanaojielewa. Ila hawa wazee wa sasahivi hawana muda na mambo ya msingiUfutwe kwanza ndipo maboresho yafanyike Mkuu.
Imagine Umoja huu hauna miradi yoyote mikubwa ya kulikomboa bara, matatizo kibao bado yametapakaa kama vita, rushwa, uhaba wa maji, umeme n.k.
Sera ya free trade area mpaka leo haijaanza kutekelezwa, free movement hakuna… ukitaka kwenda nchi nyingine ya Afrika kupata Visa sio kazi ndogo na ni gharama kuliko ukitaka kusafiri kwenda bara la Asia na Ulaya.
Embu fikiria Umoja huu unafadhiliwa na nchi za Umoja wa Ulaya kwenye projects zake badala ya fedha kutoka nchi wanachama wake.
EAC wamepeleka mbele mpango wa kuanzishwa kwa umoja wa kifedha hadi mwaka 2031. Imagine, hadi mwaka 2031. Yaani vitu vya msingi kama hivi vinachukuliwa kiwepesi wepesi.Hizi jumuiya hazina faida zozote, tunalipa ada za uanachama na ku host mikutano kwa gharama kubwa lakini haina matokeo yoyote.
Tizama SADC wameshindwa kutatua mgogoro wa DRC na M23.
Ukiwa wewe ni DRC unaona kunaaja ya kuwa member state?
Tujiulize EAC inafaida gani kwa nchi wananchama?
Kagame mwenyewe pia Dikteta mbona.Kagame kukomesha mauaji ya kimbari halafu akawasaidia Wakongo kuwaondolea Dikteta wa Zaire.
Tatizo ni nchi wanachama sio umojaUfutwe kwanza ndipo maboresho yafanyike Mkuu.
Imagine Umoja huu hauna miradi yoyote mikubwa ya kulikomboa bara, matatizo kibao bado yametapakaa kama vita, rushwa, uhaba wa maji, umeme n.k.
Sera ya free trade area mpaka leo haijaanza kutekelezwa, free movement hakuna… ukitaka kwenda nchi nyingine ya Afrika kupata Visa sio kazi ndogo na ni gharama kuliko ukitaka kusafiri kwenda bara la Asia na Ulaya.
Embu fikiria Umoja huu unafadhiliwa na nchi za Umoja wa Ulaya kwenye projects zake badala ya fedha kutoka nchi wanachama wake.
Sio Dikteta bali ni strong man.Kagame mwenyewe pia Dikteta mbona.
Hujamsikia Kagame akisema kuwa kuna baadhi ya Askari wake walitaka kulipiza Kisasi lakini akawawahi.Kwani watusi walioua wahutu walikimbilia wapi? Si wapo tú wanakufa bata. Walioshiriki mauaji ya Kibeho ya mwaka 1995 wengine si bado ni viongozi serikalini?