PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,863
- 23,466
Common wealth ni Scam
Kuitwa commoner na waingereza ni matusi makubwa sana
Common wealth ni Scam
Wanatofautiana kwamfano Habyarimana aliua watu wengi sana halafu Kagame akaja alawakomboa Waafrika waliokuwa wakiuwawa bila ya sababu.Kidogo kidogo....ila hawa Wakoloni Weusi wakiachiwa Watutawale Ni Mauwaji ya Halaiki. Hawajali Ubinadamu hata kidogo mbele ya madaraka
Nakuelewa sana Mkuu na hapo ndipo tatizo lilipo.Umoja wa Afrika ni chombo kinachotumiwa na Umoja wa Ulaya kufanikisha mambo yao. Kuuvunja sio rahisi labda wapatikane viongozi wazalendo kwelikweli. Sio hawa vibaraka
Sahihi sana.Hatuwezi kujenga jumuiya imara wakati tumeshindwa kujenga taasisi (taifa) imara...
Misaada kibao toka Backingham Palace,watu wetu wanafanya kazi huko wengine BBC,kukuza demokrasia biashara na Britain na members wengine,wataalamu na vifaa vya kila aina,mikopo na silaha na vifaa kama ile radar ya BA systems nk.Lugha yao sasa mnaitafuna kama maandazi halafu na nyie Dr Lemy Ongala alipata jiko toka huko na mnalipia Faida za ukoloni kila mwaka.Nini faida za Tanzania kuwepo kwenye jumuiya ya Common Wealth? Je unajua tunailipa UK kwa kututawala?
Kwa miaka 6 mfululizo Magufuli hakuwahi kuhudhuria vikao vile vya kupotezeana muda; I wish one day rais mwingine aje na yeye aende mbali zaidi, si tu asihudhurie, lakini hata muwakilishi asitume. Vile ni vikao kama vya kahawa tu tu huku mtaani, sema wale wana vaaga suit, baasi lakini discussion za maana kule HAKUNAUmoja wa Afrika ni chombo kinachotumiwa na Umoja wa Ulaya kufanikisha mambo yao. Kuuvunja sio rahisi labda wapatikane viongozi wazalendo kwelikweli. Sio hawa vibaraka
Wanatofautiana kwamfano Habyarimana aliua watu wengi sana halafu Kagame akaja alawakomboa Waafrika waliokuwa wakiuwawa bila ya sababu.
Hii misada hata nchi ambazo haziko kwenye jumuiya ya Common Wealth wanapataMisaada kibao toka Backingham Palace,watu wetu wanafanya kazi huko wengine BBC,kukuza demokrasia biashara na Britain na members wengine,wataalamu na vifaa vya kila aina,mikopo na silaha na vifaa kama ile radar ya BA systems nk.Lugha yao sasa mnaitafuna kama maandazi halafu na nyie Dr Lemy Ongala alipata jiko toka huko na mnalipia Faida za ukoloni kila mwaka.
WHat about Kagame?Wanatofautiana kwamfano Habyarimana aliua watu wengi sana halafu Kagame akaja alawakomboa Waafrika waliokuwa wakiuwawa bila ya sababu.
Misaada? Hakuna kitu kinaitwa msaada. Wanapokupa kitu wewe unatoa zaidi ya ulichowapa. Hao waingereza ni vile hatujagusa maslahi yao. Usisahau walivyohusika kwenye mauaji ya mamilioni ya watu wa kabila la Igbo kule Nigeria wakati wa vita vya Biafra. Walivyoona Biafra ikiwa nchi huru visima vyao vya mafuta vitapotea, hawakujali chochote. Hata zile picha za watoto wa Igbo waliokonda kwa kukosa chakula hazikuwafanya wawe na huruma. Fungua akili yako ndugu yangu, wote wapo kimaslahi. Ukiona wanakuchekea ujue mianya yao ya kunyonya mali zetu hujaigusa. Iguse uone rangi zao halisi.Misaada kibao toka Backingham Palace,watu wetu wanafanya kazi huko wengine BBC,kukuza demokrasia biashara na Britain na members wengine,wataalamu na vifaa vya kila aina,mikopo na silaha na vifaa kama ile radar ya BA systems nk.Lugha yao sasa mnaitafuna kama maandazi halafu na nyie Dr Lemy Ongala alipata jiko toka huko na mnalipia Faida za ukoloni kila mwaka.
Mali na wenyewe wametoa taarifa ya kujitoa leo. Nadhani na Burkina Faso watafata mkondo maana hawa wajeshi watatu kwenye umoja wao wanafanya maamuzi yanayofanana linapokuja suala la sera ya mambo ya nje.Nilisikia pia na Mali ipo.
Kimsingi hizi jumuiya hazina faida yoyote.
Binafsi napendekeza hata Umoja wa Afrika ufutwe au wanachama waachane nao.
Kwanini tunashindwa kuwa na jumuiya zilizo imara kama Umoja wa Ulaya.
Kabisaa ,siku nilivyotajiwa maana ya " house of commons" na " house of lords" nilipata kichefuchefu.Kuitwa commoner na waingereza ni matusi makubwa sana
Why ?Ni wakati sasa wa Tanzania kujitoa kwenye jumuiya ya Common Wealth
Wanamka wakati ndio kwanza wasira tanzania katoka uzeeniSasa ndio ninaweza kusema Afrika inaanza kuamka 💪 Rwanda nae kawafukuza Wabeleji.
Thank you God.
Kwanini ufutwe na sio kuboreshwa iwe kama huo umoja wa Ulaya ?Binafsi napendekeza hata Umoja wa Afrika ufutwe au wanachama waachane nao.
Kwanini tunashindwa kuwa na jumuiya zilizo imara kama Umoja wa Ulaya.
Kagame kukomesha mauaji ya kimbari halafu akawasaidia Wakongo kuwaondolea Dikteta wa Zaire.WHat about Kagame?
Dikiteta yupi?Kagame kukomesha mauaji ya kimbari halafu akawasaidia Wakongo kuwaondolea Dikteta wa Zaire.
Kagame kukomesha mauaji ya kimbari halafu akawasaidia Wakongo kuwaondolea Dikteta wa Zaire.
Kakomesha mauaji wakati kayahamishia Kongo kuua wahutu. Usisahau na mauaji ya Kibeho ya mwaka 1995Kagame kukomesha mauaji ya kimbari halafu akawasaidia Wakongo kuwaondolea Dikteta wa Zaire.