Nchi wafadhili sasa muamue kusimama na wanasiasa au wananchi

Iheshimuni serikali maana yenyewe hudumu vyama hupita na wanasiasa wake serikali kwa waajiriwa ndio baba na mama ikikutema imekula kwako.
 
Kila mtu aliona kilichotokea tarehe 27 na 28 Oktoba 2020. Wasimame na wananchi. Serikali zipigwe vikwazo regardless ya nani yumo.
Usichokijua:

Tarehe 28.10.2020 Baada ya CHADEMA na ACT wazalendo kugundua Wamepigwa kipigo cha Mbwa Koko waliamua kuanza kuteka na kuwapiga picha Watu kwa kuwashikisha Kura feki baadhi ya Wanaccm kimateka. Walipiga kura za Mfano wakijifanya zilikuwa ni za ccm.

Kura Walizozitumia ni Vitabu 05 vya vyama vya siasa kwenda kuwafundishia Wanachama na wapenzi /Wafuasi wa vyama vyao.

Huu Mchezo ni uchochezi wa hali ya Juu, Lengo lake likiwa ni kuichafua Tanzania kimataifa.

Kitendo ambacho ni hujuma kubwa kwa Watanzania. Kuna Bichwa linaitwa Tundu Lissu lipata laaana kubwa asipooomba Msamaha, Kama anajifanya nunda aendeleee na Umatako wake.

NB, JPM piga Kazi, Mwinyi piga Kazi. Hao Wanaoichafua Tanzania tuachie cc wananchi tutashughulika nao tu, na Hata Walioshinda udiwani na Ubunge nawashauri Wampuuze yule Mke wa Wabeligiji.
 
Pumba na mchele vinazidi kujitenga, wanasiasa wengi njaa tu, wale ACT waliposema wanaenda kupiga kura kuamua kama wajiunge kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa au hapana nikajua tayari wale walishalegea.

Hawaaminiki tena, sasa chama makini cha upinzani Tanzania kimebaki kimoja tu; CHADEMA.
 
Back
Top Bottom