Nchi na Viongozi waliojaribu kutetea kulinda mali asili za nchi zao Afrika na matokeo yake

Tulisema hapa kuwa Magufuli ndiye rais anayetufaa hapa Tanzania watu wakakasirika na wengine wakataka kujiua. Tumuunge mkono rais wetu shujaa.
 
Hawa viongozi walifikwa na haya yote kwa sababu ya Usaliti, ubinafsi na ujinga wa watu wao wa karibu. Watu waliowaamini na kuwaweka karibu wawasaidie kuongoza nchi zao waliwageuka wakaamua kuwatumikia wakoloni. Sisi ndio tunawapa nafsi ya kuendelea kutunyonya.
 
Ndio jambo ambalo kwa sasa tunatakiwa kuwa makini nalo.
 
Kufa kwa ajili ya maslahi ya nchi yako ni uzalendo, uzalendo sio kula kiapo tu mbele ya wanahabari na kuuza sura.

Hata Mungu ametuambia tusimame katika haki.
 
Hata sadam alitaka kuanzisha ishu kama ya Gadafi nae wakamuahi.
Maana alitaka exchange isiwe dola tena but gold kama alivyotaka gadafi.
But CIA wakikutaka jua watakupata tu hata kama ni kuivuruga nchi yote kama walivyofanya kwa gadafi
 
Lakini.mwisho wa siku haya mambo atakayekuja kulipa kwa damu au kwa njaa ni masikini wa hiyo nchi ndio wanakuwa sadaka. Sio rais wala kiongozi yeyote Tetea raslimali but pia angalia na roho za hao unaowatetea na ndio maana Mandela alianzisha kamati za maelewano
 
Sisi wapinzani wazee wakupinga kila kitu tunasema hatua ya Rais sio sahihi. Kwanini tuwakwaze wakubwa, tutaishia kuwalipa kama IPTL na escrow ni bora angeacha tu waendelee kuiba hadi mikataba itapoisha sisi tutavumilia. Tunawapenda sana wawekezaji hatuwezi waudhi watatupeleka kwenye tribunals za kimataifa.

Sincerely,
Wazee wakupinga kila kitu WAPINZANI.
 

Mkapa na Chenge
 
mbona unakutupuka, sijaona MTU anapinga humu kwenye Uzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…