Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,089
- 5,976
Tulisema hapa kuwa Magufuli ndiye rais anayetufaa hapa Tanzania watu wakakasirika na wengine wakataka kujiua. Tumuunge mkono rais wetu shujaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio jambo ambalo kwa sasa tunatakiwa kuwa makini nalo.Hawa viongozi walifikwa na haya yote kwa sababu ya Usaliti, ubinafsi na ujinga wa watu wao wa karibu. Watu waliowaamini na kuwaweka karibu wawasaidie kuongoza nchi zao waliwageuka wakaamua kuwatumikia wakoloni. Sisi ndio tunawapa nafsi ya kuendelea kutunyonya.
Ili tuweze kufanya hivyo tujitazame sisi kwanza kabla ya kuanza kulaumu huku na kule.Ndio jambo ambalo kwa sasa tunatakiwa kuwa makini nalo.
Hata sadam alitaka kuanzisha ishu kama ya Gadafi nae wakamuahi.Umemsahau Gaddafi, kosa lake ni kutaka kuanzisha AB badala ya kutegemea WB, then tuanzishe AMF badala ya IMF, pia Africa turushe satellite yetu ya mawasiliano ya simu badala ya kuitegemea ITU.
Kwa sasa hapa tulipo, kupiga simu Rwanda hiyo simu lazima kwanza iende London kwa colonial masters wetu, kisha iende Paris kwa colonial masters wa Rwanda ndipo ifike Rwanda. Msumbiji lazima zipite Lisbon
Simu za Congo lazima zipite Belgium.
Angalau sisi nchi za Africa Mashariki it was easy kwa sababu tumetawaliwa na mkoloni mmoja, lakini Rwanda na Burundi ni majirani, Simu lazima kwanza ipite France, then Belgium ndipo ifike. Au Liberia na Sierra Leone, simu kwanza iende UK, then US ndipo ifike. Gaddafi akasema huu ni upuuzi. Ukiunganisha uchumi wa nchi zote za bara la Africa ni uchumi mkubwa kuliko wa Ulaya na America, hivyo akapendekeza tuungane kuunda a United States of Africa iitwe USAF tuwe na veto kwenye UN, tuwe na Benki yetu kila kitu tufanye wenyewe! .
Wakubwa wakakasirika waka m fix.
Paskali.
Tukiachana na hilo la mchanga, bado sijaelewa ni kwanini tuliruhusu wawe wanachukua dhahabu BURE.
Yaani dhahabu wanayoichukua hawainunui wala kuilipia.
Mwisho wa siku ni kwamba wanalipa kodi tu, tena napo bado ni wanazidiwa hata na kampuni nyingine za kawaida.
Nadhani sisi tuna matatizo makubwa
mbona unakutupuka, sijaona MTU anapinga humu kwenye Uzi,Sisi wapinzani wazee wakupinga kila kitu tunasema hatua ya Rais sio sahihi. Kwanini tuwakwaze wakubwa, tutaishia kuwalipa kama IPTL na escrow ni bora angeacha tu waendelee kuiba hadi mikataba itapoisha sisi tutavumilia. Tunawapenda sana wawekezaji hatuwezi waudhi watatupeleka kwenye tribunals za kimataifa.
Sincerely,
Wazee wakupinga kila kitu WAPINZANI.
Nimewasilisha pingamizi letu.mbona unakutupuka, sijaona MTU anapinga humu kwenye Uzi,