Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

Bwana nepi... Sore, nape usihofu. Tutawapa hao madiwani matatu then tutakuongezeeni na shibuda. Hapo vipi
 
Kwani Nape hujui mgogoro wa arusha ni huyo Chatanda alieyevuruga morogoro kwa ubabe wake mkampeleka arusha , kule kafika uababe hukohuko pale watu wanafedha zao, tatizo kubwa ni kila mmmoja kwenu CCM yuko karibu na mkubwa wa nchi, kule mvomero mbunge rafiki wa mkuu, DC kazaliwa ikulu shida ni kwa wananchi,
 
wewe kijana kumbe mjinga. diwani kachaguliwa na wananchi wa arusha. unataka atumie akili ya kuambiwa na chadema makao makuu.

tumechagua madiwani wa nini. tuchague chama basi.

ndio maana pamoja na chadema kukutenda ukabaki kujiumauma tu. mwanasiasa asiye na msimamo wake ni zuzu wa siasa.

kanuni gani hapo imevunjwa. pelekeni roboti wakawawakilishe.

Hapa umekuwa too emotional,ukisoma hoja zake hata Nape hawezi kujibu.Ni mwanasiasa gani kijana CCM unaweza kumfananisha na Ben?Hebu msome vizuri,CCM haiwezi kujisahihisha kwa kutumia jazba na emotions kwenye hoja
 
mtazamo wangu binafsi arusha madiwani ambao kwakweli ni wawakilishi wa wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa kwai udiwani, wamekaa na kuamua kumaliza tofauti zao, leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake uzalendo kwa chama ni mkubwa kuliko kwa wananchi wa arusha?

kwa hili la arusha nilidhani ingekuwa wananchi kwanza, chama baadae

nape acha kutuletea porojo, kwanza mafisadi magamba washughulikiwe, acha kutuondoa kwenye mjadala wa magamba, hilo la arusha cdm watalimaliza kwa mtindo wanaoona inafaa, wewe unamangapi chamani hujatatua, acha porojo
 
Toka lini CCM mkawa na mtazano huo! mbona haikuwa rahisi kuachia chaguo la wananchi juu ya uraisi?... nadhani CCM ishukuru uungwana wa DR Slaa kukaa kimya juu ya wizi wa kura uliofanywa na CCM na NEC yake, amasivyo yangetokea ya kenya
Na tume yao ya uchaguzi.
 
Nnauye,

Come'n!
Unataka Chadema ije mezani katika bargaining/negotaition na bakuli la damu ya watu wanaodai haki huku upande mwingine CCM ije na Unaibu Meya kwa kwa kuvuruga kanuni,kutokufuata sheria,uhalifu wa kisiasa kwa gharama ya damu ?

I need you make something clear: BALANCE – in two senses – societal and individual.

Societal Balance of Justice demands that that which is good for the goose should be good for the gander in a just society – for this reason it is incontestable that we all desire that all non-principled elements be equally prosecuted.

Individual Balance of Justice demands that each man individually will reap what he sows: a karmic effect if you like – namely that if you jump up you will fall down, and that what goes around comes around.

Thus in the first sense we speak about societal equality, social justice. In the second sense we speak of justice to the individual.

Chadema ni chama kinachojijenga katika misingi ya maadili,haki na wajibu.Chadema ni tofauti sana na CCM ambayo imekuwa chanzo cha ukosefu wa nidhamu,maadili na hivyo kupoteza uwezo na hata moral Authority ya kuiwajibisha serikali yao pale inapokosa nidhamu kwa wananchi wake.Sidhani kama ni jambo la kheri kwa chama chochote makini cha siasa kulea utovu wa nidhamu,matokeo yake tutakuwa kama CCM ambayo katibu mwenezi wake wa sasa ana historia ya kukosa nidhamu hadi kutaka kuanzisha chama kingine (CCJ) na kufanya jitihada za kugombea ubunge kupitia chama kingine!

Suala la Arusha ni lazima lihusishe makao makuu ya chama cha Chadema,hili ni suala la kitaifa.Ndiyo maana haikuwa makosa kwa katibu mkuu wa chama enzi zile Yusuf Makamba kuliongelea,Ndiyo maana haikulalamikiwa kwamba mbona waziri mkuu Mizengo Pinda kaliongelea(Pamoja na kutuhumiwa kufanya jitihada za aibu za kulidanganya bunge na taifa). Tatizo la Chadema si umeya,haki na wajibu ambao unatokana na kufuata kanuni,taratibu na sheria ndiyo maslahi yanayotakiwa.Muafaka/suluhisho lolote litokanalo na ubakaji wa Demokrasia bila kuzingatia misingi ya haki,kujitoa sadaka nk. ukiachwa utakuja kushuhudia makubaliano ya kuhujumu haki,chama na itikadi! sidhani kama chadema inataka kufika huko.

Siku zote mimi nasema,yeyote anayevunja kanuni,ni lazima adhibiwe kwa mujibu wa kanuni bila kujali uwezo,cheo,rangi,kabila,dini,itikadi na hata Jinsia! Hii ndiyo siasa ya demokrasia ya vyama vingi iliyotokana na watu kwa ajili ya watu!

Ben

Nimependa sana hoja yako,napenda sana jinsi unavyojua kujieleza.Ukiachana na kambi yenu ya kuweka mkakati wa kuweka mgombea Uenyekiti wa taifa Chadema 2013,utafika mbali sana kisiasa.Hilo kundi lenu la Akina zitto na kitila achana nalo.Hili suala la Arusha nalo lisije likaibua mgogoro.
 
nchi kwanza, anza kutueleza kwanini mnakwiba pesa pale BOT KIASI CHA TAKRIBANI BILLION 900 mkiwaacha watanzania hawa maskini wakikosa huduma za msingi
251045_190483097666147_100001133736084_457581_1825318_n.jpg
 
Hili lingeanza na CCM kwa kuungana na MH Mboe juu ya posho.
Huo ndio uzalendo bwa mdogo.
 
ni kwanini wabunge wenu wanaong'ang'ania Posho kubwa za kukaa Bungeni huku wengine wakilala bungeni mfululizo.
KWANINI MNAENDEKEZA HAWA WATU WENYE UWEZO MDOGO SANA, KWANINI MNARUHUSU WATAFUNA UCHUMI WETU KUENDELEA KUWA MIONGONI MWENU NYIE CCM
.
270383_175684325826537_100001549126150_454565_5101192_n.jpg
 
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?

Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Watu wako gizani halafu wewe unasema nchi kwanza? Hivi CCM wanajua kitu chochote kuhusu falsafa ya nchi kwanza?
 
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?

Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Hivi wa Magamba wangekuwa wana hili la nchi kwanza chama baadaye nchi yetu si ingekuwa mbali sana!? Angalia hili la kujivua gamba limechukua miezi mingapi sasa!? Wakati mnatafakari namna ya kuvua gamba lenu shughuli muhimu za kuendesha nchi zinazidi kudorora kila siku iendayo kwa Mungu.
 
nchi kwanza chama baadae, Nape serikali ya chama chako wamefail kuzuia rushwa , Tizama hata hawa wadokozi wa rushwa ndogo ndogo wanavyotusumbua mtaani, achana na CHADEMA, maana kuna mengi ya kufanya
167182_163580113691337_100001180498127_320658_3931405_n.jpg
 
ben

nimependa sana hoja yako,napenda sana jinsi unavyojua kujieleza.ukiachana na kambi yenu ya kuweka mkakati wa kuweka mgombea uenyekiti wa taifa chadema 2013,utafika mbali sana kisiasa.hilo kundi lenu la akina zitto na kitila achana nalo.hili suala la arusha nalo lisije likaibua mgogoro.

hapo kwenye red,bado ben hujaacha mambo ya makundi?
 
Mnahangaika nini kumjibu huyu Nape?

Nilishasema zamani sana kuwa huyu jamaa ni kama F-16. Atakuja kurusha kombora na kurudi zake kwenye Base.

Sasa hivi kaandika na hatokei hapa tena na nyie mnakaa kumjibu wakati yeye sasa hivi anaendelea na shughuli zake na wapambe wanampa tu habari jinsi watu wanavyomshukia. Yeye huko ndiyo anachekaaaaa......

images
Ni Msanii, mpotezeni.
 
Mnahangaika nini kumjibu huyu Nape?

Nilishasema zamani sana kuwa huyu jamaa ni kama F-16. Atakuja kurusha kombora na kurudi zake kwenye Base.

Sasa hivi kaandika na hatokei hapa tena na nyie mnakaa kumjibu wakati yeye sasa hivi anaendelea na shughuli zake na wapambe wanampa tu habari jinsi watu wanavyomshukia. Yeye huko ndiyo anachekaaaaa......

images
Ni Msanii, mpotezeni.
uTOTO WA NAPE UNAPOKUJA NIKUKIMBIA HOJA MIMI NDO NAMWOONA MPUMBAVU MJINGA WA MWISHO, NJOO TUYAMALIZE KWANINI USIFUATE YA MALECELA JR, MWENZIO HUWA ANAJIBU HOJA KWA HOJA SASA WEWE KAMA SI KUJIZALILISHA NI NINI UNATUAONA WOOTE HUMU WATOTO WADOGO?
NAPE KUWA KIDOGO BASI HUNA CHA KUONGEA KAA KINYWA, MJINGA WEWE!
 
Nape nape nape.. bora walikupa hiyo nafasi ili tukujue zaidi, i used to think differently about you as a politician
 
wewe kijana kumbe mjinga. diwani kachaguliwa na wananchi wa arusha. unataka atumie akili ya kuambiwa na chadema makao makuu.

tumechagua madiwani wa nini. tuchague chama basi.

ndio maana pamoja na chadema kukutenda ukabaki kujiumauma tu. mwanasiasa asiye na msimamo wake ni zuzu wa siasa.

kanuni gani hapo imevunjwa. pelekeni roboti wakawawakilishe.

Dada/mama/Aunt/Madame Jenifa,


Can you not make your point without insults. Did I abuse you in any way? What is it with most of you so-called CCM/Nape supporters that you can not make a point without resulting to insults? Anyaway,have fun on your own!

Nape kama katibu Mwenezi anajaribu kuja na hoja nyepesi,kwanza hajui cccm kwamba ndiyo source ya matatizo yote hayo?

Kuhusu kama kanuni zimevunjwa,kanuni ni two way traffic cause naona unadhani natetea nini sijui.Kwanza kuna kamati imeundwa inaelekea Arusha.......

I wish kama ungejua ninachomaanisha,hebu tafadhali soma post yangu utafakari...Madame,i didnt mean what you think!


Ben

Nimependa sana hoja yako,napenda sana jinsi unavyojua kujieleza.Ukiachana na kambi yenu ya kuweka mkakati wa kuweka mgombea Uenyekiti wa taifa Chadema 2013,utafika mbali sana kisiasa.Hilo kundi lenu la Akina zitto na kitila achana nalo.Hili suala la Arusha nalo lisije likaibua mgogoro.

Miss parliament......

Mgogoro?Chama kitamaliza haya tu.Ndiyo maana uzito wa kuunda kamati umeonekana....Chadema ni makini,mambo mengine detailed nadhani yakijadiliwa ndani ya chama itakuwa better

Ila hapo kwingine sijui uenyekiti,sijui nani......hapa si mahala pake kwa sasa.Please kama wewe una makundi usidhani kila mtu ana kundi,otherwise thanks


hapo kwenye red,bado ben hujaacha mambo ya makundi?

Kabombe,

Sina kundi,Chadema hakuna makundi,sijui linatoka wapi hili suala!
 
Nape utaifa unaouzungumzia ungeanzia kwenye chama chako,kama utaifa ungekuwa ni muhimu leo hii umeme huu usingetupa tabu,tusingekuwa na EPA,RICHMOND,MEREMETA,KIWIRA,KAGODA na nyinginezo.ninyi magamba mna utaifa???????upi???nijibu nape wala usiangalie chini semaaa kabla hujanikasirisha zaidi,sio ninyi unapitisha miswada isiyo na maslahi ya taifa pale bungeni kishabiki sababu tu mna wabunge wengi??????wewe nape unajimaliza mwenyewe kwa kuleta thread zisizo na kichwa wala miguu angaliaa!!!!!.
 
Labda ni kweli muafaka huo haukuwa sahihi. Lakini njia CHADEMA wanayotaka kutumia italeta hasara kama yale maandamano yalivyoleta hasara. Ninaamini kulikuwa na njia bora zaidi ya maandamano yale. Naamini pia serikali ingeweza kuyashughulikia maandamano yale kwa namna bora zaidi ya kiungwana bila risasi na mauaji kama ilivyotokea. Naamini pia kuwa CHADEMA ilikuwa na njia bora zaidi za kushughulikia tatizo lao la huu muafaka kwa njia bora zaidi na siyo haya malumbano ya kuwapa faida washindani wao. Kumbe ni makosa yamekuwa yakizaa makosa mengine kila upande. Mmi nawatahadharisha kuwa kusahihisha kosa kwa kutumia kosa lingine siku zote humpa faida yule mkosaji wa awali. Hebu tafakarini nyendo zenu na matamko yenu ya sasa kama yana faida kwa wananchi wa Arusha ambao wengine bado wana majeraha na wengine bado wanaugulia misiba. Muafaka wa tangu April mnautolea tamko baada ya miezi miwili, wakati huku watu wameshasherehekea! Mlikuwa wapi siku zote hizo, mlikuwa mnapanga nini?
Sasa wafukuzeni hao wanachama CCM ichukue halmashauri kwa kura bila kuhitaji tena muafaka. Na kwa myumbo huu mnaoonesha, mnawafanya wananchi wajute kuwachagua. Kama kila siku ni kujadili mgogoro tuuuuu, mingine mipya hii inayoibuliwa na akina Mbowe wakiwa Dar kwenye viyoyozi, sisi huku Arusha hayo maendeleo tutayapata lini? Mnatuangusha, siyo siri. Mimi nawaunga mkono madiwani. Kama hamuwataki, wafukuzeni kura zirudiwe za uchaguzi wa madiwani ndipo mtaelewa uharibifu mliojisababishia.
 
Back
Top Bottom