Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

Kaulimbiu nzuri sana, yafaa awaambie wabumbe wa ccm wajue pale bungeni wangalie maslahi ya nchi
 
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?

Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Crap! Malizana na Mafisadi wenzio huko CCM na CCJ!
 
Naongezea kuwa ni kweli, kwa mtazamo wangu, kuwa Nape hana moral credibility ya kusema 'nchi kwanza chama baadaye' maana chama chake hakiamini hivyo wala hakitendi hivyo, na tumeona ushahidi wa wazi katika namna bunge lilivyopitisha bajeti ki-CCM licha ya mapungufu makubwa yaliyokuwamo kwenye bajeti hiyo. Lakini hata CHADEMA ya Mbowe, Slaa na Lema hawako sahihi katika namna wanayoshughulikia mgogoro huu wa Arusha maana wanazidi kuupalilia. Ni ubinafsi tu umetanda, suala ni nani kamzidi mwenziye. Ni kisa cha ngamia kumkejeli ng'ombe kuwa ana kibiongo (nundu). Kwa chama kinachotaka kujipambanua kwa sifa ya umakini kama CHADEMA, nilitarajia busara zaidi na matumizi ya mkondo wa kisheria zaidi tangu awali.
 
.......
Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Nakubaliana na wewe lakini huo wimbo ungekuwa kwa mambo mengi tu CCM waayofanya. Na timing yake ya kutanguliza taifa inatia shaka. Kama taifa lingewekwa kwanza arusha toka zamani wasingefika hapo walipofika. Huwezi tu kuibuka k usema from May 2011 unaaaza kusema taifa kwanza
 
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?

Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE
Unajua watu wengine ni waajabu sana. Yaani hilio umeliona lifanyike kwa Arusha tuu? Hebu ushauri huo kawape wabunge wa CCM pale Dodoma, waeleze kuwa wananchi kwanza chama baadae. Tutakuelewa,vinginevyo ukifanyacho hapa ni uvuvuzela.
 
Poor Nape!!mbona harudi?jamvi limeota miiba linamchoma???Kwa dhamira yake hakustahili kuendelea kuwa CCM maana wimbo anaoimba hauna mchezaji ndani ya CCM na hilo analitambua wazi ni tamaa za vijimaslahi zinamponza otherwise angekuwa mpiganaji muhimu.NB toka huko kabla hawajamaliza conspiracy wanayotengeneza dhidi yako utaonekana hero.
 
Nape ungewafundisha hilo wale wabunge wa chama chako wanaoimba ngonjera za kusifia bajeti a100% baadae wanaanza kuorodhesha mapungufu na matatizo kibao!!

Thank you Mr Ludwig Van Beethoveen...hili hata mie nalishangaa....na hata AMADEOUS WOLFGANG MOZART akifufuka atashangaa pia!!Wachilia mbali kaka yao JOSEPH HAYDN!
 
Maslahi ya Nape yako arusha tu sio serikalini na ukitaka ugombane naye basi utofautiane na bwana aliyempa ulaji kuanzia ukuu wa wilaya na hatimaye nafasi ya kupiga kelele hii ya sasa;

1. Siku 90 ulizotangaza kuhusu mafisadi vipi? nimesikia umeanza kugeuka kivuli chako sasa; kwa tarofa za leo unasema hukusema uwe na aibu
2. Je wanaccm wanaopinga kwa maneno m arefu na hatimaye kuunga mkono hoja pia wanatanguliza maslahi ya taifa?
3. CCJ ni kweli ulikuwa mwanzilishi? je unaaminika kweli ktk ccm au ndio bendera fuata upepo
 
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?

Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Wafundishe kwanza wabunge wa ccm kwamba maslahi ya nchi mbele kwenye swala la posho zisizo na maslahi kwa Taifa zima, wakishaulewa wimbo wako ndo uje kuzungumzia maslahi ya sehemu ndogo ya arusha mjini
 
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?

Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Nape wewe ni kijana ambaye maneno yako juukwaani kama huko katika ziara yako ya lindi mengine yaligusa wananchi wakihisi unahisi maumivu kama wao nami pia nilianza kuhisi kweli waweza kuwa kiongozi sababu un aongea lugha inayowagusa wanachi wanyonge wa tanzania, kumbe nilipotoka najuta kuweka imani juu yako hufai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi, kiongozi bora ni yuloe aongeaye baya hata kama linamgusa au limefanywa na yeye mwenyewe kwako ni tofauti, hivi hujui kama uchaguzi arusha haukuwa huru na haki kuna asiejua hilo je wewe kama unalijua na huwezi tolea tamko je wafaa kuongoza jibu ni rahisi hufai, nilitegemea kama kweli una dhamira ya kusafisha chama GAMBA kubwa na zito kwa chama chate cha CCM ni dhuruma ya wazi , ukandamizaji , uporaji wa mchana wa mali za wanyonge, nape hujui kuna mchanga wa dhahabu unasafirishwa nje ya nchi bila kujulikana kilichomo?, hujui waheshimiwa wabunge toka upinzani hukamatwa hovyo wakati wa ccm huombewa vibali maalumu kupelekwa mahakamani? ndg nape hujui watu wanauawa wanapigwa risasi na serikali ya nchi yao na wengine wana viilema vya maisha?, hujui tozo za kipumbavu zilizomo ndani ya mazao ya kahawa na pamba yanayowakabili wananchi? hujui kama wanafunzi kuandamana ni haki yao ya msingi kufikisha hisia zao na huishia kuumizwa vibaya wakitetea haki zao? Hujui kuwa wabunge nusu ya chama chako wako bungeni siyo kwa utashi wa wananchi bali kwa rushwa na wizi wa kura na nguvu ya dola? hujui kama viongozi wote wa ccm kuanzia kata hadi mkoa hawawezi kumpitisha mtu kugogombea cheo chochote hadi atoe chochote? unafahamu hata kwenye hiyo NEC yenu watu ni wachafu zaidi ya unaowatuhumu? unafahamu Mwenyekiti wa mkoa wa Kagera Mama Buhiye ni miongoni mwa wala rushwa wakubwa sana mkoani kagera ambaye kila diwani wakata ya mkoa wa kagera alitoa shilingi laki tano ili apitishwe na mbunge milioni tano na ambaye hakutoa hata kama ni msafi vipi hakupita na alietoa hata kama ni jambazi alipita lakini ni miongoni mwa sura mpya ya mabadiliko ndani ya chama chako ? Ndugu Nape wananchi wa Tanzania hawataki propoganda tena wanataka vitendo na dhati ya moyo kwa hiyo usiongee maneno mepesi kwa jambo la arusha watu watakuona huwatumikii wao ila unatumikia interest zako KAMA KWELI UNA MAANISHA DHATI YA MOYO YA NCHI KWANZA CHAMA BAADAE BASI SHAURI CCM MRUDIE UCHAGUZI WA DEMOKRASIA YA WAZI HAPO UTAKUWA UNAMAANISHA LA SIVYO UNAZIDI KUDHIHIRISHA UHOVYO WAKO NA UROPOKAJI KAMA IMEVYOKUWA ADA YAKO NA NDIYO MAANA WAMEKUACHA UJIKAANGE MWENYWEWE ILI MWISHO WA SIKU WASEME NI NAPE ALIYESEMA SIYO MIMI MPIRA UTAKUWA NA UTABAKI UMEDUWAA KWA HIYO UMFURAHISHIE HAYUKO NA WEWE YUKO NA HAO UNAOWABEZA KWA HIYO TUMIKIA UMMA SIO KUNDI LA WATU KAMA KWELI UMKWELI ZUNGUMZA HISIA ZINAGUSA WOTE NA SIYO ITIKADI YOTE.
 
Labda ni kweli muafaka huo haukuwa sahihi. Lakini njia CHADEMA wanayotaka kutumia italeta hasara kama yale maandamano yalivyoleta hasara. Ninaamini kulikuwa na njia bora zaidi ya maandamano yale. Naamini pia serikali ingeweza kuyashughulikia maandamano yale kwa namna bora zaidi ya kiungwana bila risasi na mauaji kama ilivyotokea. Naamini pia kuwa CHADEMA ilikuwa na njia bora zaidi za kushughulikia tatizo lao la huu muafaka kwa njia bora zaidi na siyo haya malumbano ya kuwapa faida washindani wao. Kumbe ni makosa yamekuwa yakizaa makosa mengine kila upande. Mmi nawatahadharisha kuwa kusahihisha kosa kwa kutumia kosa lingine siku zote humpa faida yule mkosaji wa awali. Hebu tafakarini nyendo zenu na matamko yenu ya sasa kama yana faida kwa wananchi wa Arusha ambao wengine bado wana majeraha na wengine bado wanaugulia misiba. Muafaka wa tangu April mnautolea tamko baada ya miezi miwili, wakati huku watu wameshasherehekea! Mlikuwa wapi siku zote hizo, mlikuwa mnapanga nini?
Sasa wafukuzeni hao wanachama CCM ichukue halmashauri kwa kura bila kuhitaji tena muafaka. Na kwa myumbo huu mnaoonesha, mnawafanya wananchi wajute kuwachagua. Kama kila siku ni kujadili mgogoro tuuuuu, mingine mipya hii inayoibuliwa na akina Mbowe wakiwa Dar kwenye viyoyozi, sisi huku Arusha hayo maendeleo tutayapata lini? Mnatuangusha, siyo siri. Mimi nawaunga mkono madiwani. Kama hamuwataki, wafukuzeni kura zirudiwe za uchaguzi wa madiwani ndipo mtaelewa uharibifu mliojisababishia.

Linashughulikiwa hebu tusubiri jamani
 
HIVI mnataka NIJIBU NINI? MATUSI MNAYONITUKANA MIE MPUMBAVU? USHAURI WA BURE KWENU NYOTE MNAOISHIA KUTUKANA,KUKEJELI BADALA YA KUKEJELI NA KUTUKANA MKICHOKA ACHENI KUCHANGIA THREAD ZANGU, HAKUNA MTU ANALAZIMISHWA KUCHANGIA NDO MAANA WAKATI MWINGINE NAWAANGALIA TU MNAVYOTUKANA.

WAPO AMBAO KWELI WANA HOJA NA MIE NAWAHESHIMU SANA, LAKINI WA KUTUKANA NA KUKEJELI PAMOJA NA KWAMBA NAJUA HAWAZIDI WAWILI NA IDs KIBAO WACHA WAENDELEE KUTUKANA NA SIONI SHIDA NITAKAA NA KUSOMA MATUSI YENU.

KARIBU KILA MTU HAPA ATAITWA NAPE......SIO VIBAYA KWAKUWA UCHUNGUZI UNAONYESHA WANAOITWA NAPE NI WALE WASIONITUKANA, HII NI SIFA NJEMA, KEEP ON DOING IT GUYS
 
Ninachotaka Ujibu ni lini mtawafukuza mapacha watatu,
ni lini Mtawakamata wezi wa raslimali za umma, walioleta ufukara huu katika Taifa hili, na sio habari za CHADEMA, kwa kua CDM haijahusika na madhila haya

156565_178002748892675_100000488544093_599644_5694958_n.jpg
 
wewe kijana kumbe mjinga. diwani kachaguliwa na wananchi wa arusha. unataka atumie akili ya kuambiwa na chadema makao makuu.

tumechagua madiwani wa nini. tuchague chama basi.

ndio maana pamoja na chadema kukutenda ukabaki kujiumauma tu. mwanasiasa asiye na msimamo wake ni zuzu wa siasa.

kanuni gani hapo imevunjwa. pelekeni roboti wakawawakilishe.

HIVI mnataka NIJIBU NINI? MATUSI MNAYONITUKANA MIE MPUMBAVU? USHAURI WA BURE KWENU NYOTE MNAOISHIA KUTUKANA,KUKEJELI BADALA YA KUKEJELI NA KUTUKANA MKICHOKA ACHENI KUCHANGIA THREAD ZANGU, HAKUNA MTU ANALAZIMISHWA KUCHANGIA NDO MAANA WAKATI MWINGINE NAWAANGALIA TU MNAVYOTUKANA.

WAPO AMBAO KWELI WANA HOJA NA MIE NAWAHESHIMU SANA, LAKINI WA KUTUKANA NA KUKEJELI PAMOJA NA KWAMBA NAJUA HAWAZIDI WAWILI NA IDs KIBAO WACHA WAENDELEE KUTUKANA NA SIONI SHIDA NITAKAA NA KUSOMA MATUSI YENU.

KARIBU KILA MTU HAPA ATAITWA NAPE......SIO VIBAYA KWAKUWA UCHUNGUZI UNAONYESHA WANAOITWA NAPE NI WALE WASIONITUKANA, HII NI SIFA NJEMA, KEEP ON DOING IT GUYS

Hapo kuna mwanachadema kati ya hawa waliotoa comments?kuuza sura ni gharama.utafeli ukiendelea hivyo mtaipata.
 
HIVI mnataka NIJIBU NINI? MATUSI MNAYONITUKANA MIE MPUMBAVU? USHAURI WA BURE KWENU NYOTE MNAOISHIA KUTUKANA,KUKEJELI BADALA YA KUKEJELI NA KUTUKANA MKICHOKA ACHENI KUCHANGIA THREAD ZANGU, HAKUNA MTU ANALAZIMISHWA KUCHANGIA NDO MAANA WAKATI MWINGINE NAWAANGALIA TU MNAVYOTUKANA.

WAPO AMBAO KWELI WANA HOJA NA MIE NAWAHESHIMU SANA, LAKINI WA KUTUKANA NA KUKEJELI PAMOJA NA KWAMBA NAJUA HAWAZIDI WAWILI NA IDs KIBAO WACHA WAENDELEE KUTUKANA NA SIONI SHIDA NITAKAA NA KUSOMA MATUSI YENU.

KARIBU KILA MTU HAPA ATAITWA NAPE......SIO VIBAYA KWAKUWA UCHUNGUZI UNAONYESHA WANAOITWA NAPE NI WALE WASIONITUKANA, HII NI SIFA NJEMA, KEEP ON DOING IT GUYS

Mkuu unakweap hoja kwa visingizo dhaifu
umesema kuna wawili wamekupiga maswali kistaarabu mbona hata hayo ujayajibu

wewe sema wanakutukana watu wawili kwa ID tofauti lakini ukweli unabaki kwamba hali ni ngumu
mtaani na ndio maana watu wanashusha mikuki kila wanapo waona

mimi binafsi nachukiwa sasa chama chako kwanza kwa kufanya maisha ya watanzania kama mzaa
na shida zao kama wmejitakia.
kama wewe sio kiongozi dhaifu kwa nini unagoma kujibu hoja unazoona zina msingi ?
unatoa shutuma tu kama kawaida yako kwamba watu wanakutukana kwa ID tofauti tofauti

Vua gamba jibu hoja ulizoona zina msingia ,
anza na zome ya wabunge wa chama chako bunge kwenye hoja zenye msingi zinazotolewa na upinzania
hacha udhaifu simama kama kiongozi, kiongozi bora haogopi maneno hasa kama amesimama kwenye ukweli
 
HIVI mnataka NIJIBU NINI? MATUSI MNAYONITUKANA MIE MPUMBAVU? USHAURI WA BURE KWENU NYOTE MNAOISHIA KUTUKANA,KUKEJELI BADALA YA KUKEJELI NA KUTUKANA MKICHOKA ACHENI KUCHANGIA THREAD ZANGU, HAKUNA MTU ANALAZIMISHWA KUCHANGIA NDO MAANA WAKATI MWINGINE NAWAANGALIA TU MNAVYOTUKANA. WAPO AMBAO KWELI WANA HOJA NA MIE NAWAHESHIMU SANA, LAKINI WA KUTUKANA NA KUKEJELI PAMOJA NA KWAMBA NAJUA HAWAZIDI WAWILI NA IDs KIBAO WACHA WAENDELEE KUTUKANA NA SIONI SHIDA NITAKAA NA KUSOMA MATUSI YENU.KARIBU KILA MTU HAPA ATAITWA NAPE......SIO VIBAYA KWAKUWA UCHUNGUZI UNAONYESHA WANAOITWA NAPE NI WALE WASIONITUKANA, HII NI SIFA NJEMA, KEEP ON DOING IT GUYS
Nape acha kulialia, jibu basi hoja unazodhani zina hikma achana na hayo matusi... Tuone!
 
ujumbe muhimu kwako michezo mliyotuma wabunge wetu kufanya bungeni ni hatari kwa taifa na chama,
kamwe msijetafuta mchawi
wananchi tunawasoma kwa kutete posho eti wanatugawia hali wote wanajengea mahekalu hali watu tukiteseka wao wanaona fahari kusema uongo bungeni

na mwambieni ulafi sasa umemkolea na anakuwa kama ule msemo masikini hakipa....
 
Nape anadeka sana, anapenda kulia lia sana, kama hawezi mijadala katika majukwaa huru aende kubaki kule kwenye jukwaa lao la wanaccm wakaambizane maneno yao yakubembelezana na kupakana mafuta kwa migongo ya chupa, humu ni nondo kwenda mbele, hakuna kukata roho, kwa maslahi ya UMMA.
nape kwanini chama chako kinaasisi wizi kila mahaRA na kusababisha umaskini wa kiwango cha kutisha ?
, achana na siasa za CDM, kwakua wako next level
166314_155922217791588_100001214312304_312253_8002431_n.jpg
 
Back
Top Bottom