Nchi kubwa sasa kuongozwa na Wanawake.......maajabu!

Shetani anaweka watu wake ili awatumie kukamilisha mipango yake.shetani hamuwezi mwanaume directly, trust me.. This is bad sign.world is going over!

Mwanamke ni dhaifu tu,hata awe nani.
Hata enzi za mitume wanawake walikuwepo kwa nini Mungu hakuwatumia? Sio kwamba hawezi kuongoza no!
Wapi Mungu anataka mwanamke aongoze.
Haya mataifa makubwa kushikwa na wanawake, utakuwa mpango wa Mungu au washetani?
Mungu awajaalie neema wanawake wanaojitambua na kujivunia uanawake wao,na kuheshimu maandiko.
Note: Adam aliponzwa na nani?
Samson alisalitiwa na nani?
Mungu atusamehe sisi sote,makosa yetu yote.maana mitego ya shetani ni mingi na pekee yetu hatuwezi!

You joking right?!
Ina maana wanawake ni watu wa shetani.

Guess the World is going to be over to you.
Come the end of the year may be all them above will be leaders of their respective countries, so anza kutubu dhambi mapema, cos the World is going to be over...to you that is!
 
Kule Ujerumani kuna mama Angela Merkel, hata wanaume wanamuogopa.
Marekani anakuja mama Hillary Clinton.
Uingereza ndo anaingia mama Theresa May.

Hapa Kazi Tu, tujitayarishe na feminine diplomacy!

View attachment 365373View attachment 365374 View attachment 365375
Tofauti ni kwamba hillary is liberal na WENZIE conservative .Republica/conservative ndio hawana huruma kazi tu ,hakuna mchezo .Hillary with liberal agenda free food ,wafungwa wote waachiwe,soft on terror,lazima ushanikie gay .
 
Utani wenye kaukweli ndaniye..
Wanawake si watu washetani mkuu,but easy to be used with Satan!

Dunia inaelekea mwisho,kwa wote,
Kama kuna watu waliishi miaka 900+
Wengine wakaishi miaka 300+
Wngine 200+
Wengine 200+
Leo wastani wa umri wa kuishi ni miaka 50+

Jiulize miaka 500 tu ijayo life span itakua miaka mingapi?

Hatuelekei mwisho??????
 
Samahani mkuu sijui ni usingizi au ni wewe ndo unanichanganya!
Sasa suala la hawa wamama kushika madaraka na hiyo miaka uliyoweka kuwa dunia inaishia vina uhusiano gani?!
 
Tofauti ni kwamba hillary is liberal na WENZIE conservative .Republica/conservative ndio hawana huruma kazi tu ,hakuna mchezo .Hillary with liberal agenda free food ,wafungwa wote waachiwe,soft on terror,lazima ushanikie gay .
Natalia huwa napenda support yako kwa Conservatives/republican. Vipi upepo wa kisiasa, Trump atapita? Naona Sanders amekubali yaishe na FBI hawana kesi na Clinton!
 
Ujerumani, uingereza na ufaransa ni nchi ndogo ndogo, sawa na mkoa mmoja mmoja tena ile midogo nchini kwetu Tanzania. Hizo ni nchi ndogo ila ni mataifa makubwa. Tanzania ni nchi kubwa ila sio taifa kubwa kama ilivyo uingereza nk. kwa sababu nchi ni ukubwa wa kijiografia na taifa ni watu
nawewe umekuwa mpotoshaji hivi?
 
Ni hilo neno la mwishoo tuu!
yes huu ndo ukweli wenyewe wa mama ndo viongozi humo majumbani kwenu ....... nadhani wababa wao ni kuweka mbegu hahaha wamama wanafanya mengine kusimamia shows zote infact kama mkeo ni kilaza familia lazima iweweseke kwakweli
 
Kule Ujerumani kuna mama Angela Merkel, hata wanaume wanamuogopa.
Marekani anakuja mama Hillary Clinton.
Uingereza ndo anaingia mama Theresa May.

Hapa Kazi Tu, tujitayarishe na feminine diplomacy!

View attachment 365373View attachment 365374 View attachment 365375

HALI NDIO HII , WANAUME WAMEANZA KUPOTEA UNATEGEMEA KITU GANI

GONGA HAPA List of the first LGBT holders of political offices - Wikipedia, the free encyclopedia

List of the first LGBT holders of political offices in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Umezaliwa Lini Mkuu? wakati wa Mkapa au Kikwete?

Unapozungumzia nchi kubwa ueleze aina ya ukubwa... Maana hata DRC ni Nchi Kubwa
Huitaji kuwa na akili za sayansi ya kurusha roketi kujua mtoa mada alikuwa anamaanisha nilichokiamaamisha mimi.....

Nilichokiona kwako nikutaka ligi isiyokuwa na maana angali inaeleweka alikuwa anaongelea nchi za aina gani..
Wakuu bahati mbaya hakuna ukurasa wa manunda wenye shida ya uelewa!
Ama sivyo huyu jamaa angeelewa tu.
 
Wakuu bahati mbaya hakuna ukurasa wa manunda wenye shida ya uelewa!
Ama sivyo huyu jamaa angeelewa tu.

Usilazimishe kitu kieleweke hata kama hakijaelezwa vizuri.... Acha ushabiki maandazi...

hivi Nikikuambia utamke au kuandika namba 10,001 kimaandishi.
 
hiyo sio hoja ya msingi kama akina mama wakipewa nafasi wanaweza mbona wanaume wengi2 wanapewa nafasi na bado wanashindwa kuongoza
 
Back
Top Bottom