Nchi kubwa sasa kuongozwa na Wanawake.......maajabu!

Tanzania inakwenda kutawaliwa na mwanamke?

d519e1e0272ed2cf2e4956ce229c9e21.jpg
Ptuuu mbaka!!
 
Am not talkin to you Mkuu... najaribu kuweka sawa jamaa ili next time awe mtoa hoja mzuri... people are learning over here
Huitaji kuwa na akili za sayansi ya kurusha roketi kujua mtoa mada alikuwa anamaanisha nilichokiamaamisha mimi.....

Nilichokiona kwako nikutaka ligi isiyokuwa na maana angali inaeleweka alikuwa anaongelea nchi za aina gani..
 
The new face of leaders of the free World.

Waiting for Hillary and Theresa kukamilisha hili. :)
Hell no.. i don't really think america is ready for female prezo.

We are still in the world of men's supremacy, just get used to that..
 
Ujerumani, uingereza na ufaransa ni nchi ndogo ndogo, sawa na mkoa mmoja mmoja tena ile midogo nchini kwetu Tanzania. Hizo ni nchi ndogo ila ni mataifa makubwa. Tanzania ni nchi kubwa ila sio taifa kubwa kama ilivyo uingereza nk. kwa sababu nchi ni ukubwa wa kijiografia na taifa ni watu
 
Shetani anaweka watu wake ili awatumie kukamilisha mipango yake.shetani hamuwezi mwanaume directly, trust me.. This is bad sign.world is going over!
 
Shetani anaweka watu wake ili awatumie kukamilisha mipango yake.shetani hamuwezi mwanaume directly, trust me.. This is bad sign.world is going over!
Mwanamke ni dhaifu tu,hata awe nani.
Hata enzi za mitume wanawake walikuwepo kwa nini Mungu hakuwatumia? Sio kwamba hawezi kuongoza no!
Wapi Mungu anataka mwanamke aongoze.
Haya mataifa makubwa kushikwa na wanawake, utakuwa mpango wa Mungu au washetani?
Mungu awajaalie neema wanawake wanaojitambua na kujivunia uanawake wao,na kuheshimu maandiko.
Note: Adam aliponzwa na nani?
Samson alisalitiwa na nani?
Mungu atusamehe sisi sote,makosa yetu yote.maana mitego ya shetani ni mingi na pekee yetu hatuwezi!
 
Back
Top Bottom