Nchi kubwa sasa kuongozwa na Wanawake.......maajabu!


masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,392
Likes
3,043
Points
280
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,392 3,043 280
Kule Ujerumani kuna mama Angela Merkel, hata wanaume wanamuogopa.
Marekani anakuja mama Hillary Clinton.
Uingereza ndo anaingia mama Theresa May.

Hapa Kazi Tu, tujitayarishe na feminine diplomacy!

image-jpeg.365373
image-jpeg.365374
image-jpeg.365375
 
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,837
Likes
979
Points
280
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,837 979 280
Huyu Mama nasikia anasera tata na wamiaji wakiwamo wakimbizi.
 
E

euca

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
1,228
Likes
577
Points
280
Age
25
E

euca

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2015
1,228 577 280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,668
Likes
51,824
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,668 51,824 280
Hawakufaulu waliomtanguliza wanamke kuwa kiongozi wao.. Nukuu
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,412
Likes
38,589
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,412 38,589 280
Hujui UK. Humjui Iron Lady, then....
what is your right?
Kukaa kimya
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,412
Likes
38,589
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,412 38,589 280
hv hao wamama wakipata hayo madaraka waume zao huwa wanapewa ulinzi kama ule wanaopatiwa FIRST LADY na huwa wanaitwajE kwa kidhungU?
Makatapera baby. Suluka mu ntapatela tujobe
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,392
Likes
3,043
Points
280
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,392 3,043 280
hv hao wamama wakipata hayo madaraka waume zao huwa wanapewa ulinzi kama ule wanaopatiwa FIRST LADY na huwa wanaitwajE kwa kidhungU?
Hao ma FIRST MAN lazima wanapewa ulinzi.
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
4,414
Likes
3,360
Points
280
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
4,414 3,360 280
Kati ya hao wote atakaye kuwa na madaraka makubwa kwa mwanamke yeyote kuyapata duniani itakuwa mama Clinton.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
44,923
Likes
12,876
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
44,923 12,876 280
The new face of leaders of the free World.

Waiting for Hillary and Theresa kukamilisha hili. :)
Dilma Rousseff wamemfanyia figisu kule Brazil.
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,255
Likes
15,360
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,255 15,360 280
hv hao wamama wakipata hayo madaraka waume zao huwa wanapewa ulinzi kama ule wanaopatiwa FIRST LADY na huwa wanaitwajE kwa kidhungU?
Na kulipwa analipwa na ulinzi anapewa na hata baadhi ya safari anaenda na nae
 

Forum statistics

Threads 1,237,666
Members 475,675
Posts 29,296,673