Nchi ipi ilimpongeza Kikwete kwa ushindi!

Nchi ipi ilimpongeza Kikwete kwa ushindi!

Kunatofauti kati ya kupongezwa na kuja kuhudhuria kuapishwa
marais walipo kuja kuhudhuria kuapishwa wakakuja mpinzani wake mkuu dr slaa amesusa , na walipo hoji wakaambiwa kikwete kaingia madarakani kwa nguvu ya vyombo vya dola , sasa wakaondoka bila kutoa salamu za pongezi
 
Back
Top Bottom