YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Hivi Ivory coast alipongezwa na Gbagbo au Allasane? Au uchaguzi ulikuwa haujafanyika kwao?
Toka uchaguzi umepita na "rais" kupatikana, sijasikia salamu za pongezi kutoka kwa nchi rafiki kama ilivyozoeleka toka zamani, au vyombo vya habari Havitangazi
Hakushinda ndio maana hakupongezwa....hata wale wanao desa mitihani huwa hawa jisikii kupongezwa hata wapate 100%
Yeye si ndiye aliyewaita ikulu na kuwaandalia ile sijui ni sherehe ya kukaribisha mwaka, kwa nini waitwe ikulu ndio wampongeze??Mabalozi wa nchi zote juzi walimpa pongezi. KWANI NI NCHI GANI ILIYOMPA SLAA/LIPUMBA POLE KWA KUANGUKIA PUA?
Mnamwonea jk wa watu mbona alipongezwa na nchi nyingi sana!! Ninazokumbuka kwa uchache ni Afghanistan, pakistan, iran, jordan, oman, misri, ivory coast, libya, moroco, tunisia, djibuti, somalia, mali, comoro, madagasca, zimbabwe, saudi arabia, kuwait, uturuki, palestine, uzebekstan, n.k. Jk anafahamika bwana siyo utani!!!
Marekani wao kama wanajua kuna maslahi wanatafuta hawajari rais kaingia kwa mlango upi! Hiyo ni kawaida yao na mkwere anawajulia ndio maana uishia kuwakenulia meno! Subiri wakose deal ya Uranium yetu utasikia!
ni zilezile tu zilizozoeleka mjomba.....................lran, iraq, Libya Oman na nyingine kibao za kiislam