Kwa hiyo hiyo habari ya kwamba CCM inafuata demokrasia ni uzushi tu?
Mgombea urais wa CCM, na hivyo rais wa Tanzania do far, anateuliwa na watu wachache, halafu wananchi wanapigwa changa la macho kwamba wamemchagua?
Hapo ndipo pazuri sasa kama unaamini kitengo kinaweza kuamua na kumuweka mtu sasa swali ni kwa makubaliano yepi, kwanini kitengo kiingie risk ya kuweka "traitor" . . . . . .. Keeping a lion for a later kill??!! Why this mess??!!!
Kennedy was a president too, vested with power . . . .. Very same power. . .what happened? ?!!!
Kama kweli kitengo kinaendesha nchi basi hakika suala sio dice rolling. . . .
Kwa hiyo hiyo habari ya kwamba CCM inafuata demokrasia ni uzushi tu?
Mgombea urais wa CCM, na hivyo rais wa Tanzania do far, anateuliwa na watu wachache, halafu wananchi wanapigwa changa la macho kwamba wamemchagua?
Sasa hao usalama wa taifa si waingie na kwenye michakato ya vyama vingine ili kuweka usawa katika kupata mtu safi mbele ya wananchi?The Boss Hata mimi nilishangazwa katika hiki kipindi cha demokrasia ya vyama vingi eti Usalama wa taifa wanaingia kwenye vikao vya ccm kumchambua mgombea atakayepeperusha bendera ya ccm.
Kama taifa bado kazi tunayo. Naamini mwaka huu 2015 wa uchaguzi, hautokuwa wa haki kama ulivyokuwa wa 2010
Na kwa nini niamini kwamba kina kitengo zaidi ya Kikwete, Mwinyi, Mkapa and their few cronies?
Kwa tuliyoyashuhudia wiki ilopita na yale tuliyoyaona mwaka 1995, demokrasia na CCM ni oxymoron.
Halafu jamaa walivyo washenzi hata soni hawana. Kura za tatu bora eti zimepigwa ukumbini..bila hata kuelezwa kama zoezi la kupiga kura limemalizika, mwenyekiti wao anaahirisha kikao hadi kesho yake.
Maswali ibuka hapo ni 1) Kwa nini hawakumaliza kila kitu hapo hapo? 2) Kwa nini mwenyekiti aliahirisha kikao kwa namna ile? Hivyo ndo ratiba yao ilivyokuwa inasema? 3) Hizo so called kura zilihesabiwa saa ngapi, wapi, na nani?
Hiyo ni dhahiri shahiri kabisa.
Magufuli sasa ni president-in-waiting.
Na tayari anapewa ulinzi wa walinzi ambao wanaonekana kama si walinzi wa kutoka CCM wale.

Ndio maana mimi nilisema humu UKAWA kushupali ishu ya
serikali tatu kwenye bunge la katiba ilikuwa haiwasaidii
walipaswa hasa kushupalia 'Tume huru ya Uchaguzi'
kama ajenda namba moja......wao walisusa bunge kwa ishu ya Tanganyika...
now we are back at square one
Nilidhani hili ni wazi kabisa sababu hakuna aliyependekezwa akashindwa uchaguzi. . . .Unless wananchi wana nidhamu ya woga kiasi cha.kusema ndiyo kwa lolote au wanaopendekezwa huwa kweli ni vipenzi vya wananchi. . . .Na hapo ndo tunarudi kule kule
kama wananchi hawana 'final say'
basi hata uchaguzi hauna maana
Halafu hujiulizi kura za Asha Rose na Amina zilipungua?
kuingia tano bora Asha kura 280 halafu eti baadae akapata kura 50?
huoni hii results ya kutengenezwa ili Magufuli aonekane ana support?
The whole thing was a sham.
Da Amina kwenye tano bora alipata kura 284 [kama sijakosea].
Magufuli alipata kura 290.
Ina maana kutoka tano bora hadi tatu bora waliompigia kura Da Amina wakibadili mawazo yao kwa haraka namna hiyo?
Hahahaaaaa talk about things that make you go hmmmm....:lie:.
Kaenda Zenj anatumia gari la AG katika kampeni. AG ni mtumishi wa serikali.
Huyu ndiye Magufuli anayesifika kwa kukemea rushwa na uzembe.
Hili ama hajaliona kama issue, ama kaliona kalidharau.
Yote mawili majanga.
Kwa hali ilivyo ni bora iwe hivyo kwa muda. . . . . . " kuna mambo labda hayahitaji mjadala na labda kuna mambo yakiwekwa wazi kabisa itahitajika nguvu kubwa zaid kutuliza jamii" hizi ni aasumptions ambazo zinaweza sababisha nchi kuelekezwa nini cha kufanya . . . . .
Naamini ni kwa faida ya wengi na ya muda mrefu. . .
Faida ya wengi?
Ambao wakistaafu kwenye ujaji wanakuwa watia nia wa CCM(Augustino Ramadhani)...ambao wakistaafu kutoka ukuu wa majeshi wanakuwa wagombea ubunge through CCM(Robert Mboma)...ambao wakistaafu u-IGP wanagombea ubunge through CCM(Omar Mahita)...ambao wakistaafu ukurugenzi wanakuwa watia nia wa uraisi through CCM. Wengine wakistaafu u-RPC wanapewa u-DC(Zelothe)
Kweli kama ulivyosema...ni wengi na ni haki yao kabisa kwa manufaa mapana ya nchi na kwa muda mrefu!
Janga la tatu:
Magufuli huyu huyu alimu-endorse Raila Odinga kwenye kampeni za uchaguzi wa Kenya mwaka 2013.
Umeona wapi waziri wa serikali kutoka nchi nyingine anamu-endorse mgombea urais wa nchi nyingine?
Na si kwamba alitoa endorsement ya maneno tu, la hasha.
Jamaa alitia timu hadi kwenye kampeni za CORD huko Kenya.
Cheki hii clip kuanzia dk. 1:00.
Yaani jamaa kapiga hadi na kapelo ya rangi ya chungwa na scarf shingoni.
This dude is a mess.....
Hans Kitine alikuwa mkuu wa Usalama wa Taifa akaenda chukua fomu za kugombea Urais CCM
na Agustin Mahiga alikuwa deputy wa Usalama wa Taifa
akachukua fomu CCM