Nchi imepitia mengi hii

Nchi imepitia mengi hii

Mimi au wewe sio sawa na Askofu kaka

Kama ni za mchango why ziingie kwenye kaunti bnafsi?

Utaratibu wa michango upo wazi
Sikuelewi unakataa nini unakubali nini hapo juu kuna sehemu imeandikwa ni mchango wa nini?

Mimi muumini nikiamua binafsi kwa mapenzi yangu kumwezesha Askofu kama rafiki yangu kamati tendaji haihusiki na hiyo hela na hizo pesa za Ruge hazikuwa officially kwa Kanisa hata zingekuwa zisingekataliwa hapa angalia hekima iliyotumika kuzirudisha
 
Mwingine hata ningekuwa mimi nisingerudisha hata kumi,mtu ana biashara zake unathibitisha vipi alizonipa mimi ndizo alizokuibia hakuzitoa kwenye faida ya biashara zake?
Inategemea na kiasi cha muamala
 
Zingepita pande zangu..yaani hata mia nisingerudisha
pesa ya ufisadg unarudishaje?
 
Back
Top Bottom