Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,268
Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.