Nchi imekuwa kama halina bunge

Nchi imekuwa kama halina bunge

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,559
Reaction score
7,914
Hivi ni mimi tu anayeona bunge limepooza ni kwa muda sasa sioni na hakuna cha maana kinachoendelea pale bungeni, mpaka nikasahau kuwa na sisi kwenye nchi yetu tuna bunge.
 
Hii nchi acha tu,ngoja tusubiri kesho. NO REFORMS NO ELECTION (japo kinyonge)
 
Back
Top Bottom