Acha upuuzi wako kwenye mambo ya msingi. Sio kila kitu mnaleta propaganda uchwara.Acha ujinga wewe, toka hapo kwa shemeji yako! Mimi nipo MWanza, nafuga kuku wa kienyeji, nina oda ya mayai ya kienyeji hadi wateja nawakimbia....kwasasa hivi nazalisha tray 2 tu kwa siku.(2 X 15,000 X 28) jibu unalo mwenyewe.
Kama utaweza njoo nikupe mitetea 3 na jogoo moja kisha baada ya miezi 6 urudi hapa jf uandike upuuzi wako.
Jisemee nafsi yako. Wengine maisha Yanaendelea kama kawaida.Nimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam.
Nilichokiona kinasikitisha, Mitaa michafu, watu wamekondeana, fremu zimefungwa na zilizofunguliwa wateja ni wa kuhesabu.
Ukizunguuka ukaenda kwa wauza chipsi mafuta wameyachomea chipsi wameyarudia hata mara tano yamekuwa meusi tiii, wanakwambia brother hali ni ngumu hatuwezi kumwaga yale tuliyokwisha tumia.
Ukienda kwa mama ntilie, unawaona jinsi watu wanavyohustle, vijana wanawakopa, hela ya kula ngumu na wanakwambia wanakula mlo mmoja kwa siku.
Siku hizi kuangalia TV majumbani imeshakuwa anasa, hela ya king'amuzi kila mwezi mtihani!
Hali ni ngumu kitaa, hali ni mbaya sana. Nchi imekauka kaukau
Hivi viongozi wa serikali wanalijua hili?. Hivi wako aware na hali ya kiuchumi ya wananchi wao?
Serikali ilijue hili kuwa hali ni mbaya mtaani, data na Takwimu za makusanyo na kukua kwa uchumi hazitusaidii sisi wananchi, matangazo yenu hayajatranslate kwenye hali halisi huku kitaa!
Na hii ni Dar, Jiji kubwa vipi huko mikoani?
Nimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam.

Jisemee nafsi yako. Wengine maisha Yanaendelea kama kawaida.
TGIT...YOLO.
ok sawa kwa ujumbe wako kama vipi tupe na mrejesho wa hali ya maisha kule Venezuela amabako watu wananyang'anyana makombo na mbwa kwenye majalala
sure mkuuSasa Venezuela nao wanazingua, kama hali imekuwa mbaya kihivyo si wawale kwanza hao mbwa ili competition ya msosi majalalani isiwepo?.
Mbona wachina na wanyalu wanagonga mbwa na mambo swaaafi
Nyie ndio mnafanya baadhi ya wanawake wanaojitqmbua kulera ugumu usio na lazima kwa mambo yenu mkipewa papo kwa papo mnawashusha thaman mademuKuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye hotel kubwa sana hapa Dar, nilimuomba tukafyatuane, akanitolea nje kuwa ana mchumba kamaliza chuo anatafuta kazi na akipata wataanza kuishi pamoja na kufunga ndoa, aisee yule dada akapunguzwa kazi pamoja na watu wengine huku mchumba wake hajapata kazi mpaka leo, siku moja nikamkuta bar zetu hizi za kawaida za uswahilini, aisee alinichangamkia huyo huwezi amini kuwa alinitolea nje, nikaomba kwa mara nyingine tena, yaani nilichukua mzigo kiulaini kama nanawa vile, sasa uliza shughuli yake nilikuwa napiga mechi kama ugomvi, cha kushangaza kesho yake tena yupo kwenye meza mpaka leo hii ni mchepuko wangu
Au sie wazaramo na wandengereko tutaenda wapuNa wao watarudi Chato na Kolomije?
Huku mikoani tunakula na kusaza kabisa, tunalala sehemu yenye upepo mwanana,hakuna maharufu ya chembaz,
Mkiambiwa msikimbile dar hamtuelewi.
Kama yamekushinda rudi kijijini ukalime msimu wa mvua hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wa bonde la Msimbazi?Huku mikoani tunakula na kusaza kabisa, tunalala sehemu yenye upepo mwanana,hakuna maharufu ya chembaz,
Mkiambiwa msikimbile dar hamtuelewi.
Kama yamekushinda rudi kijijini ukalime msimu wa mvua hii
Sent using Jamii Forums mobile app