Nchi imekauka, mambo hayaendi...

JPm kanyaga twende

Serikali ilijue hili kuwa hali ni mbaya mtaani, data na Takwimu za makusanyo na kukua kwa uchumi hazitusaidii sisi wananchi, matangazo yenu hayajatranslate kwenye hali halisi huku kitaa!

Na hii ni Dar, Jiji kubwa vipi huko mikoani?[/QUOTE]
 
Hali ikiendelea hivi kuna siku wananchi watachoka

Jr[emoji769]
 
Mikoani watu wanachapa kazi na maisha yamekuwa mazuri zaidi,dar watu walizoea kuishi kiujanja ujanja,fanyeni kazi hamtalalamika kuwa maisha ni magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ple kwa kuwa uzembe umekutawala Fanya Kazi utaona tofauti
Sisi huku mikeka inatema tuuu, tunakula na kusaza, wewe endelea kulaum serikli... Unashindwa kuelewa usemi wa kila zama na shetani wake
 
ni wazi utakuwa na shida ya kutafsiri ujumbe unaokuwemo kwenye maandishi fikirishi, pole sana.
 
Ndiyo maana napenda JF maana ukiwa na stress zinaondoka ghafula
 
wanaoshindwa kufanya biashara ni wale wanaofanya waliokuwa wakifanya biashara kiujanja ujanja kwa kukwepa kodi, nikiwa kama mwananchi mwema sijutii kuwapoteza wafanyabiasha wasio na faida kwa taifa langu.
tahira wewe sio mzima
 
Mr. Makalia hana habari na mambo haya!
 

Vipi kuhusu biashara ya dada poa na kaka poa? hali ikoje huko?
 

UNAJITANGAZIA ZINAA DHAMBI ISIYOFUTIKA UMEFANYA ZINAA DHAMBI YA KWANZA HALAFU UMEITANGAZA DHAMBI YA PILI NA KILA ANAESOMA WEWE UNAANDIKIWA DHAMBI MPAKA MAANDISHI YAFUTIKE POLE SANA KABURINI UTAKIONA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
UNAJITANGAZIA ZINAA DHAMBI ISIYOFUTIKA UMEFANYA ZINAA DHAMBI YA KWANZA HALAFU UMEITANGAZA DHAMBI YA PILI NA KILA ANAESOMA WEWE UNAANDIKIWA DHAMBI MPAKA MAANDISHI YAFUTIKE POLE SANA KABURINI UTAKIONA


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaijua dhambi wewe, dhambi ni kuua watu wasio na hatia hapo tunapeana raha
 
Kikaragosi cha dikteta. Povu linakutoka kumtetea kichaa jiwe wakati yeye mwenyewe ni mwizi na fisadi tena wa trillions. Miaka zaidi ya 20 ndani ya serikali hata siku moja hakuwahi kukemea ufisadi kwani naye alikuwa busy kufanya yake kwa kukwapua huku na kule na kufisadi.

 

achana na huyo mzee hajielewi, amegeuka kuwa mlamba viatu
 
Reactions: BAK
Hizo frame na mabanda ambayo yapo wazi yanatumia uchawi au?Fahamu kua katika kila biashara 100 ,90 hufa mwaka wa kwanza na zilizobakia hufa ndani ya miaka japo kuna chache ambazo huishi zaidi ya hapo. Kufa na kuzaliwa na biashara si jambo la juzi wala jana na haliwezi kuhusishwa na Jiwe moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu weka mchanganuo wa kimahesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msamehe bure huyu mzee anajua mapungufu ya nduguye lakini ndio hivyo damu nzito kuliko maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…