CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Nimejiuliza kwa nini General tyre ilikufa? Nani aliua kiwanda hicho. Soko lote hili la ndani kilishindwaje kujiendesha! Walikuwa na monopoly ya soko la ndani na yalikuwa matairi yanapendawa sana, kwa nini walikuia? Leo wanaleta matairi yanapasuka yakipata joto!