Wakubwa wanaweka akiba ya kura zao! Siasa zinaharibu mambo mengi sana nchi hii!Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee...watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.
Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.
Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga. Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.
Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Kuna siku watujua hasara ya kuachia watu wafanye mambo kiholela namna hiyo, japo nasikitika kuisema watajua hasara kwa kutumia gharama kubwa sana.Wakubwa wanaweka akiba ya kura zao! Siasa zinaharibu mambo mengi sana nchi hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana.Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.
Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.
Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.
Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.
Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Sasa pale ndio target nzuri ya biashara abiria anapokuwa kwenye kituo cha basi kukumbuka kununua chochote cha kurudi nacho nyumbaniWangepangwa kwenye ofisi za chama
Mbona wana majengo mengi tu
Haya ya kukaa pembezoni mwa barabara sio vizuri
Ebu piga mahesabu.
Tuseme machinga wote wapigwe marufuku.
Bodoboda wote wapigwe marufuku.
Mama lishe wote wapigwe marufuku.
Hali itakuwaje?
Jamani, tukubaliane na hali, na pia hebu jiweke katika hali yao.
Hali ni ngumu jamani.
Mfano mzuri: Mstaafu aliezoea kila mwisho wa mwezi ana hela ya uhakika na nyingine ya kuchezea. Ghafla hakuna cha mshahara wala posho posho, ni ka-pension tu!
Ninakuhakikishia, wengi wanaondoka kabla ya wakati wao. Hasa wale waliokuwa Mashirika ya umma. Fanya utafiti.
Hatujasema wapigwe marufuku...wafanye biashara kwenye maeneo yao..au unataka watu walite wapi..hujaona sasa hv jinsi abiria wanavyosimama barabaraniEbu piga mahesabu.
Tuseme machinga wote wapigwe marufuku.
Bodoboda wote wapigwe marufuku.
Mama lishe wote wapigwe marufuku.
Hali itakuwaje?
Jamani, tukubaliane na hali, na pia hebu jiweke katika hali yao.
Hali ni ngumu jamani.
Mfano mzuri: Mstaafu aliezoea kila mwisho wa mwezi ana hela ya uhakika na nyingine ya kuchezea. Ghafla hakuna cha mshahara wala posho posho, ni ka-pension tu!
Ninakuhakikishia, wengi wanaondoka kabla ya wakati wao. Hasa wale waliokuwa Mashirika ya umma. Fanya utafiti.
Sasa pale ndio target nzuri ya biashara abiria anapokuwa kwenye kituo cha basi kukumbuka kununua chochote cha kurudi nacho nyumbani
Jiwe alivyokuwa waziri wa miundo mbinu alikataa kabisa njia/barabara za waenda kwa miguu zisijengwe eti ni anasa.Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.
Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.
Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.
Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.
Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
We mzee acha uongo. Demokrasia ni kuacha watu wauze vitu vituo vya magari?We unatakaje ... ? Demokrasia maana yake ndo hiyo..!
Bora waachwe tu kuwafukuza hao watu mjini watasababisha janga lingine mitaji yao ni midogo mnavomfukuza chinga mpaka aje apate eneo lingine mtaji unakuwa umekataBasi wavumilie tu
Ila Africa nchi nyingi ziko hivyo ni virugu mechi tu
Inshu sio kuwa wapigwe marufuku, kwani nchi nyingine si wapo?wakati wa jk, si walikuwepo?hiii ya sasa ni kero, wanatakiwa wawekewe utaratibu tu mzuri wa maeneo ya kufanyia biashara zao?!huo tatizo linalojitokeza kwa sasa upande wa masoko, yanajengwa ya mabilioni lakini hakuna watu humo wa kuyatumia, kisa wale wanaotakiwa kuwa mle wanatoka na kupanga bidhaa zao njiani!!masoko yanabakia tupu nchi gani makini inaweza kukubali ujinga huo?!!Ebu piga mahesabu.
Tuseme machinga wote wapigwe marufuku.
Bodoboda wote wapigwe marufuku.
Mama lishe wote wapigwe marufuku.
Hali itakuwaje?
Jamani, tukubaliane na hali, na pia hebu jiweke katika hali yao.
Hali ni ngumu jamani.
Mfano mzuri: Mstaafu aliezoea kila mwisho wa mwezi ana hela ya uhakika na nyingine ya kuchezea. Ghafla hakuna cha mshahara wala posho posho, ni ka-pension tu!
Ninakuhakikishia, wengi wanaondoka kabla ya wakati wao. Hasa wale waliokuwa Mashirika ya umma. Fanya utafiti.
Waguse uchafukeLatina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.