Watembea kwa miguu mijini wanasumbuliwa sana barabarani nchi hii

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,261
Makondakta na madereva wa dalaladala, bajaji, bodaboda, hadi nyingi ya gari kubwa za abiria za mikoani mnasumbua sana abiria na mnakuwa kama walevi wa pombe za kienyeji.

Barabarani mnawapigia watembea kwa miguu kelele na honi za nini kuwaliza kama wanaenda? Unasimamisha chombo chako au unamkimbizia mtu cha nini kama hajakusimamisha au kukuita?? Kama mtu anasafiri si atasimamisha gari lako au ataita bodaboda au bajaji yako?!

Mtindo huu wa ufanyaji wa biashara za usafiri wa abiria wa umma kwa kusumbua watembea kwa miguu ni hovyo sana na unaonyesha kiwango kikubwa cha watu wenye akili ndogo na wasiostaarabika.
 
Huwa unatongoza kwanini wanawake na hawajakwambia wanataka gegedo!?,maisha bila kuyasumbua utakufa njaa
 
Makondakta na madereva wa dalaladala, bajaji, bodaboda, hadi nyingi ya gari kubwa za abiria za mikoani mnasumbua sana abiria na mnakuwa kama walevi wa pombe za kienyeji.

Barabarani mnawapigia watembea kwa miguu kelele na honi za nini kuwaliza kama wanaenda? Unasimamisha chombo chako au unamkimbizia mtu cha nini kama hajakusimamisha au kukuita?? Kama mtu anasafiri si atasimamisha gari lako au ataita bodaboda au bajaji yako?!

Mtindo huu wa ufanyaji wa biashara za usafiri wa abiria wa umma kwa kusumbua watembea kwa miguu ni hovyo sana na unaonyesha kiwango kikubwa cha watu wenye akili ndogo na wasiostaarabika.
Shida ipo kwa viongozi mkuu, mijamaa inakusanya hela za kampeni huku mtaani hawana muda wa kuwajibika kwa nafasi zao, acha tu tusumbuliwe.
 
Back
Top Bottom