Nchi hii haina mwenyewe??

Nchi hii haina mwenyewe??

mabungo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Nasikitika kwamba Ving'amuzi tulivyonunu kwa shinikizo kwamba tunatakiwa kuwa KIDIGITALI havina maana. Nasema hivyo kwa sababu inavyoonekana hii ni biashara ya wakubwa kwa sababu kama tulivyoelezwa na idara ya Mawasiliano tutakua tunaangalia Local Channels bila shida ila nimenza kuwa na wasiwasi baada ya Star TV kujitoa kwenye Startimes. As i write now channel hii haipo. Je does this means that kila TV itakua na King'amuzi chake ili tuweze kuangalia hizo Channels? Nchi hii inatupeleka wapi?? Jamani let think twice 2015.
 
Cc TCRA



Hali ni tete njooni kwa ufafanuzi huku.
 
Back
Top Bottom