hatutaki kitu kama hii..tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine.. kwanza hapa tunaitangaza nchi na ajira kibao tu
huwezi kuniambia kuwa ndege zilipotea au kufa au shirika limekufa kwa sababu eti hakuna abiria, abiria wapo kibao sema vichwa marais wetu ndio mabuyu
tunakufa kwa kiu baharini , huu si ni uzembe? mimi nina hasira sana juzi juzi kenya airways walinifanyia dharau kubwa sana ndio maana nimekasirika na hapa kial kikicha watu wanakuaj na malalamishi ya hii kenya airways.. kwa nini mmeua Tanzania airways?
BotswanaThe Botswana Defence Force operates a Gulfstream IV as a VIP transport. This is registered OK2. The Gulftream IV OK2 has recently been sold and received a Certificate of Airworthiness for United States registry. The Botswana Defence Force also operates a Global Express OK1 as a VIP transportElewa hapa hoja ni 'nchi haina ndege za kibiashara bali ndege ya rais' alafu kwa swali lako Botswana haina ndege ya rais ila wana ndege za taifa lao japo pato lao ni kubwa kuliko letu.
BotswanaThe Botswana Defence Force operates a Gulfstream IV as a VIP transport. This is registered OK2. The Gulftream IV OK2 has recently been sold and received a Certificate of Airworthiness for United States registry. The Botswana Defence Force also operates a Global Express OK1 as a VIP transport
Yeah, Marekani ina shirika la ndege American Airlines
Hapa ndo kuna habari kamili sio blah blah za kishabiki
unajivunia?Tanzania Government Flight Agency is one of the executive agencies of the United Republic of Tanzania.
The Tanzania Government Flight Agency fleet includes the following aircraft (as of 12 September 2008):
TGFA Website
ATC kubolonga ovyo katika safari za kimataifa sio kosa la kumlaumu kikwete kabisaa. Safari za ndani ya nchi hazilipi kwa ATC maana wapanda ndege ni wachache sana na masikini ni wengi.Mikoa ambayo ATC hutegemea kupata wateja wake ni Arusha, mwanza, na Dar Es Salaam tuu badala ya nchi nzima. Halafu hawa abilia wenyewe walikuwa hawatumii fedha zao za mfukoni bali safari imprest. Sasa kufa kwa mashilika mengi ya umma na kubinafusishwa makampuni mengi kumeleta homa ndani ya mapato ya ATC. Hii yote ni kwasababu ya kujaza wazururaji wengi na ukosefu wa kazi kwa walio wengi. Ukija safari za kimataifa, Tanzania haina jina zuri katika nchi za ulaya magharibi. ATC ilikuwa haipati kabisaa abiria wa kutosha kuja tanzania ilipokuwa inafanya safari za London. Kumbuka mwaka 1974 Tanzania ilipiga marufuku mashindano ya magari ya East african rally yaliokuwa maarufu sana duniani kutangaza gari bora la dunia. Eti kwa kisingizio kuwa ni mabo ya kibepari!!!Nchi za Ulaya zilisikitika sana. Sasa nao wanatukomoa katika safari za anga.
asubuhi wanaenda kazini jioni wana rudi na wana driveATC, wana ndege mbili tu zote mbovu moja inatengenezwa South Africa ingine ipo dar halafu cha kuchekesha ATC inawafanyakazi 90, sijui wanafanya kazi gani
halafu cha kuchekesha ATC inawafanyakazi 90, sijui wanafanya kazi gani
Uingereza hawana ndege ya rais/waziri mkuu. Viongozi wanatumia ndege ya BIASHARA BA ambayo ni lishirika la umma
Jamani hivi kuna mtu ashawahi kufikiria kitu kama hiki? naomba mchangie bila kumtukana rais wala watawala wake , kama huna fact unataka kutukana naomba ukae kimya tu kwa sababu kila mtu an ahasira zake, na hawa viongozi.
hii ndege ndio inayomfanya kila siku kiguu na njia kwenda kwenye matamasha , ndio! hizi ni kodi zetu hizi kwa nini tunyamaze?
nchi yenya watu mili 40 , haina vita ina madini na migodi mbali mbli ,ina maziwa na bahari ina vivutio vya utalii
lakini haimiliki ndege, suitaki kusema kuwa kuwa na ndege ndio uchumi wako una kuwa strong but this is the source of employment also , tunashindwa kufikiria .
hakua faida ya hii ndege zaidi ya kuktutia hasara tu kwa safari zake za mara kwa mara.unafikiri ndege isingekuwepo si angekuwa nchini anafuatilia bunge? iaal hajui hata kitu gani inachoendelea na
VIJANA WA SIKU HIZI WANASEMA MWACHE ALE BATA: