technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,711
- 58,828
Kuna kikundi kidogo kina nufaika sn na matatizo ya wananchi ndiyo ambacho kinataka Rais aongezewe muda wa kutawala.Tuna hakiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda Nimepita mpanda hakuna mafuta leo nimefika sumbawanga Hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheri moja watu mnagombania mafuta.
Si kwamba mafuta hayapo Bali wamiliki weng wanataka faida kubwa kuliko ile iliyotangazwa na ewura wao wanataka Bei ile ile wakat soko la dunia wese limeshuka na mafuta yako mengi tu mbona.Tuna hakiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda Nimepita mpanda hakuna mafuta leo nimefika sumbawanga Hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheri moja watu mnagombania mafuta.
Haa! hilo la watu kununua mafuta na kuhifadhi nyumbani siyo kweli uhifadhi mafuta nyumbani ili iwejeBei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani kusema Nchi haina mafuta huo ni urongo
Wewe alokwambia kwamba kuna mgomo ni nani?Baadhi ya vituo vya mafuta vina mgomo juu ya bei elekezi. Ndiyo maana mnafungwa kijingajinga. Aliyekwambia nchi haina mafuta nani?
Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani
Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande
kusema Nchi haina mafuta huo ni urongo
Baadhi ya vituo vya mafuta vina mgomo juu ya bei elekezi. Ndiyo maana mnafungwa kijingajinga. Aliyekwambia nchi haina mafuta nani?
[emoji1]Haa! hilo la watu kununua mafuta na kuhifadhi nyumbani siyo kweli uhifadhi mafuta nyumbani ili iweje
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Mkuu, hapana, Jamaa kausema ukweli ilivyo, kuna usumbufu kweli wa mafuta, shida ni Sisi wananchiUtaambiwa umetumwa na mabeberu kuichafua nchi na serikali!
Wananchi wanunue na kuficha mpaka yaishe kwenye petrol station! Acha utetezi wa kijinga. Hizi ngonjera za kitoto zilikuwa pia kwenye sukari.
Sioni hata faida ya kuwa na gariBei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Tanga napo ni shida vituo vingi ukienda mafuta hakuna, Mafuta Hakuna lakini unaona usiku magari ya lake oil yana jaza mafuta ktk vituo vyao ukienda asubuhi unaambiwa mafuta hakuna, ukiwauliza baadhi ya wafanyakazi wanasema hapa ni hadi tarehe moja ndio tutaanza kuuza huu ni ujinga sana, naiomba serikali ichukue hatua Kali sana kwa vituo vya mafuta.