Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..
Hizo kura za Mr Push up ni za kuchakachua na ndiyo maana vyombo vya dola vimeelekezwa na watawala kuvamia taasisi zote ambazo zimekuwa zikifanya postmortem ya kutathmini namna uchaguzi mkuu ulivyoenda.

Kitendo kilichoshangaza Umma wa watanzania na jumuiya za kimataifa ni namna vyombo vya dola vilivyovamia Tume ya haki za binadamu na kusomba vitendea kazi vyao kama vile computers nk.

Swali kubwa wanalojiuliza wananchi ni mbona serikali yetu inaonyesha kujihami kupita kiasi katika mazingira tunayoweza kuyaita ni ya guilty consciousness?

Kama kweli uwanja wa kisiasa nchini kwetu uko sawa ni kwanini basi vyombo vya dola vilielekezwa kuzuia chama chochote cha siasa au taasisi nyinginezo kufanya majumlisho yake ya kujua idadi ya kura zilizopigwa lakini wakati huo huo CCM ikaachiwa kufanya shughuli hiyo kwa uhuru mkubwa pale kwenye kituo chao cha Mlimani City?

Ni lazima hao Sisiem kuna rafu mbaya sana wamecheza ambayo wanahofia wananchi na jumuiya za kimataifa zisije kujua.

Hata hivyo Jumuiya za Kimataifa zimejithibitishia pasipo shaka yoyote kuwa ingawa nchi yetu inajiita ni ya mfumo wa vyama vingi lakini actually ni nchi inayopractise mfumo wa chama kimoja.

Uthibitisho wa hilo ni kwa kile kitendo kilichofanywa visiwani Zanzibar kwa mtu mmoja anayeitwa Jecha 'kuamriwa' na watawala kufuta matokeo yaliyoonekana kumpa ushindi Maalim Seif wa chama cha upinzani.
 
Nipo Mikocheni saiv ni shangwe la hatari, jioni Kino ilikuwa amsha popo.. Ukawa ndio wapo kwenye majonzi maeneo ya kimara kina manka wanalia toka asubuhi.

Uzuri rais tuliyempata hana aja na kuuza sura yeye ni kazi tu. Mnune mpasuke Magu ndo president.
 
Chama cha mafisadi ni chadema.

Escrow ni ya ccm, Kiwira ni ya ccm rada ni ya ccm, kivuko chakavu ni cha ccm, Ufisadi nyumba za Serikali ni ccm, Ufisadi majengo pacha bot ni ccm, mhusika mkuu wa Richmond ni ccm vinginevyo mhusika angekuwa nje ya ccm angeshakamatwa muda huu, barabara mbovu NI za ccm, ujangiri wa meno ya tembo na twiga kupanda ndege ni Ufisadi wa ccm.

Yaani Chama Cha Mafisadi, Majambazi na Majangiri

#CcmUfisadiTu#
 
Furaha itoke wapi ndugu yangu? Wacha tuomboleze,wao wana nguvu ya pesa sisi wacha tuendelee kulia na huyu Mungu mpaka kieleweke.
 
Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..

Na iwe hivyo,kama Mungu aishivyo laana hii ianze kuwatafuna mara moja wote waliohusika na dhuluma hii...
 
Furaha itoke wapi ndugu yangu? Wacha tuomboleze,wao wana nguvu ya pesa sisi wacha tuendelee kulia na huyu Mungu mpaka kieleweke.

Furaha mbona tunazo tu wanaosikitika na kulalamika ni wale waliokuwa wanaramba peremende za Jambazi Sugu. Sasa Zimakatwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
EL angetangazwa mshindi ningekuwa kama ulivyo sasa!

Kura yangu: Diwani & Mbunge - UKAWA

Raisi - Magufuli!
 
Furaha mbona tunazo tu wanaosikitika na kulalamika ni wale waliokuwa wanaramba peremende za Jambazi Sugu. Sasa Zimakatwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nimekuvungia kule,umenifata huku tena. Sina haja ya kukujibu na ninaomba usini quote tena mana sitakujibu kabisa
 
Nimekuvungia kule,umenifata huku tena. Sina haja ya kukujibu na ninaomba usini quote tena mana sitakujibu kabisa

Huna sababu ya kunijibu kama hufahamu maana ya forum, just bonyeza kitufe tu hutaona michango yangu, nenda kalambe peremende zilizobakia maana utakuwa huna zingine za kulamba lamba kutoka kwa Jambazi sugu. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ni kweli kabisa,huku nilipo watu hawataki tena kuongelea politics za bongo na hata simu wakipokea anakuambia nipo busy..very sad indeed,hata group langu la whatsapp wote wote naona leo wameingia mitini na hakuna hata congratulations moja zaidi ya ----- moja tuu ambalo halieleweki kazi zake
 
utulivu umewatisha hadi wapenzi wa ccm, tatizo uwezo wa anayechukua hiyo nafasi kulnganisha na mahitaji ya wananchi.
 
article-urn:publicid:ap.org:042f834512ad4eb2a7c167bad8a654b5-EoW4d1X9z6ee5ea754b35f5696d-495_634x420.jpg

article-urn:publicid:ap.org:042f834512ad4eb2a7c167bad8a654b5-2MG93aiAYmf624505e92c5a33036-790_634x420.jpg

article-urn:publicid:ap.org:042f834512ad4eb2a7c167bad8a654b5-EoW4d1X9z6ee5ea754b35f56b48-167_634x420.jpg

article-urn:publicid:ap.org:042f834512ad4eb2a7c167bad8a654b5-2MG93aiAYmf624505e92c5a3368f-537_634x422.jpg

article-urn:publicid:ap.org:042f834512ad4eb2a7c167bad8a654b5-2MG93aiAYmf624505e92c5a34314-617_634x422.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.

Elimu tupa kule...au vipi?
 
Attachments

  • PicsArt_10-10-01.27.53.jpg
    PicsArt_10-10-01.27.53.jpg
    82.9 KB · Views: 107
  • Educn gone.jpg
    Educn gone.jpg
    37.2 KB · Views: 82
  • 14887252.jpg
    14887252.jpg
    28.1 KB · Views: 104
Wekeni tofauti zenu pembeni mjenge Taifa lenu. Watu wengi wanapenda madeal haram. Sasa kipondi hicho kitapita na itabaki kazi na jasho ndo upate maendeleo. Ahadi tamu zisizotekelezeka zimewazingua sana.
 
All we do is win, No matter what!
 
Back
Top Bottom