Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.

Duh kumbe kajiandaa kuwa dictator kihalali!?
 
Ulichosema ni kweli kabisa mimi h?ta simu sipokei naona kero tuu hii halo sijui itanitoka baada ya muda gani halafu nikimuona lubuva ktk TV nasikia kutapika kabisa Mzee mzima kuwa muongo ni aibu sana
 
kwa sisi watu wa field haiitaji kushangaa, nilikuwa ruangwa, masasi, nachingwea then mtwara yaaani full majonzi
 
utoto mwingine raha sana

furaha itoke wapi wavivu, wezi, waliofoji vyeti mashaka matupu kaja jamaa kuwaadabisha

mlitaka apite goi goi mshangilie kula raha wakat hamfanyi kazi
 
Ni kweli kabisa sauti ya umma imezimwa haki imepotea Mungu ndie mtetezi wetu! ukimya huu sijawahi kuushuhudia watu wanamaumivu makali Mungu atutie nguvu!
 
Kama hizi mbinu zilizowapatia ushindi zingekuwa zinatumika kwenye maendleo,tungekuwa mithili ya Dubai
 
Ni wakati Wa kufanya kazi !! Kama upon ofisi za serikali ili update hela kiujanja ujanja pole huu kweli ni msiba. Ila kwa maskini Wa Tz hii ni furaha mnooo. Viva Mr president let Tanzania shine.
 
Mungu yupo na atatenda
 

Attachments

  • 1446151568433.jpg
    1446151568433.jpg
    38.5 KB · Views: 207
Naam, watu waliokuzunguka kwao leo ni msiba. Wala hakuna ubishi. Si ndiyo wale wale?

Hata walionizunguka nao hawana raha, unajuwa kwanini?
 
Mimi huyu kiumbe wa mwenyezi mungu anisamehe, kwa mara ya kwanza nimemchapa mwanangu kibao baada ya kuona seriously raisi anakaribia kutajwa huku mtoto ananisumbuasumbua,

Nililazimika kumtoa out na kumuomba msamaha mpenz mwanangu. Nilipanda daladala watu hawana furaha ukikuta mtu anashangilia labda mmoja Mmoja. Nilikutana na jamaa zangu wawili hawana raha na mmoja kanipandishia bei na kuniambia hana discount na niondoke.

wkt mwingine sijui tu kwa nn simpendi magufuli ingawa sina kosa lotote na wana sija ujamaa na lowasa nashangaa tu naona lowasa nde angefaa. Kimsingi kisaikolojia Pombe anapaswa atuweke sawa, othewise ni miaka mingine kumi ya kuumia na magonjwa ya moyo
 
Ni kweli kabisa yaani imefikua hata wale ambao ni sisiem hawana amani kwa kuona sisi hatuna shida nao wala time .

Kila ninaye mgusa kakasilika, juzi mgombea wa sisiem aliyeshinda akapita Barabarani na watu wakishangilia kwa kucheza mziki na kukata viuno yaani wafuasi wa sisiem, Saasa yule mbunge akawa anasalimia kwa kupungia mkona wananchi kiukweli wananchi walikuwa kimya.

,Sasa swali ni je, kila mtu kakasirika Huyo MGOMBEA kachaguliwa na nani!
 
Ccm ni janga,Ngoja tuone Tanzania ya Magufuli,kama inaweza kurejesha furaha ya Watanzania wenye nia njema.
 
Happy Happy Happy true Tanzanians! Viva Magufuri, you are the hero! Wenye majonzi ni wavivu wa kazi, poleni sana, Hapa ni kazi tu!
 
Mtu kama Salim Kikeke hawezi kuwa na furaha kwa hali inayoendelea Tanzania kwa sasa, ni mambo ambayo ni aibu hata kuyazungumza mbele za watu, achilia mbali uulizwe na marafiki nje ya nchi juu ya kinachoendelea Tanzania! Eti mtu anaamka usingizini na kuamua kufuta uchaguzi. Eti kuhoji idadi ya kura kutoka vituoni ni uhaini! Only in Tanzania!
 
Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..

Ndugu, sote tumehuzunika. Lakini, uwe mwepesi wa kubariki nawe utabarikiwa. Epuka kuacha laana.

La, kama itakufanya uwe na amani rohoni, basi haya.

Kikubwa tujipange kwa kubadili katiba. Lowassa alijua ubaya wa hii katiba, lakini alipinga ya Warioba. Acha na yeye aone umuhimu wa katiba ya wananchi.

Aluta continua. Ni lazima kuendelea kupambana hadi kieleweke. UKAWA unapaswa kujiimarisha zaidi na hasa kwa kuyatumikia vema majimbo na halmashauri wananchi walizoitunuku na kuendelea kupigania katiba yenye haki kwa nguvu zote. ZOTE!!

Kuhusu rais alietangazwa, ni kuangalia namna ya kufanya nae kazi bila kusahau CCMscrow ni walewale...!!
 
duh,mwz ndo kabisaaa siyo siri WATU ni kama wanmetangaziwa msiba wa kitaifa.
 
Nimeamini wasomi wengi Tz na waelewa wote hawaipendi CCM sababu ya wizi wake na ubakaji wa democracy.
 
Back
Top Bottom