kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,626
Habarini wakuu, Naamani Katika kujifunza kutoka kwa wengine ndio njia pekee ya kuweza kuongeza ujuzi na ubora kwa kile unachokifanya au unachotarajia kukifanya.
Je ni nchi gani either Africa au America au ulaya kwa mjasiriamali kutembelea na kujionea watu walivyopiga hatua na ukajifunza namna mbali mbali za uzalishaji bidhaa hasa za vyakula kama bakery products, bidhaa za wanyama na kuku , soft drinks and water, food sauces and suppliments etc. Hasa vyakula. Na Iwe rahisi kwa mtu kujifunza how they process, package, distribution etc
Thanks.