Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

Hii nchi Mungu mwenyewe ndio anaejua tunaishije.. Maisha bora tulioahidiwa yamepita hata bora maisha..
 
Kama ni kweli basi wakirudi tuwadai safari report!

Hata hivyo kikatiba kama wote waliotajwa hawapo nchini basi spika Makinda kashikilia nchi!
 
Kama ni kweli basi wakirudi tuwadai safari report!

Hata hivyo kikatiba kama wote waliotajwa hawapo nchini basi spika Makinda kashikilia nchi!

Mkuu huyo nae hayupo.. Yuko India kuhudhuria mkutano wa maspika wanawake duniani.. Labda naibu wake..
 
Dr Slaa, anashikilia ni rais kivuli.

Ritz unaweza jua huyu Jamaa alikuwa anasema Nini hapo?:eyebrows:
IMG_5415.JPG
 
viongozi wetu yaani kwa kifupi wanapenda sana starehe kuliko utendaji ndio maana utakuta kila kukicha wanachangua makamanda ndugu au wale wanaojua watawaweka mifuko zingekuwa nchi za wezetu wanaambiwa wasirudi nchini lakini tanzania nchi ya amani hakuna tatizo twendeni tu mwisho utafika
 
Hii Sread nimejikuta nacheka mwenyewe
ha ha ha ................................duh
 
mr jk si kaingiza familia yake nec ccm,nazani nchi sasa ipo chini ya mama salma na mwanae ridhiwani
 
Back
Top Bottom