Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

nchi inaongozwa kwa hisani ya merekani na canada.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Inaonekana hakuna anayeiongoza hii nchi. Jamani aya c ndo maajab ya dunia tnayoyaongelea?? Mwenye rafiki ktk taasis ya guiness records of the world awashtue ili tanzania iingizwe maana aya ni maajabu ya dunia.
 
Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?

Hata wote wakiwa nje hakuna shaka, tena ndio vizuri zaidi, nchi iko kwenye autopilot siku nyingi
 
Kama mkuandamana kudai mshahara na mkichimbwa mkwara mnanyamaza kuna haja gani ya kuacha kiongozi? wamuogope nani, acha Kenya wazi uone?
 
Atakuwa ramadhan ighondu , usiombe ukutane nae, kamuulize dk. Uli akuhadithie
 
Kwan bilal na pinda nao wako nchi gani?

Bilal kazi ya kukata utepe anamwachia nan?
 
Diga Diga na Wana JF,
Umenichekesha haswa, Point lakini
Nawakilisha


Huyu naye yuko Marekani. Nchi hii haina haja ya kuendeshwa na mtu kwani inaendeshwa kwa mazingaombwe! Tena bora wasiwepo, maana wakiwepo ni ghasia tu barabarani, mara mmoja aende Pugu, mwingine Msoga na mwingine busy na Pugu Road akapande Tropical Air charter kwenda Zenji. Kwa safari zao hizo, ipo siku misafara yao itakuja kugongana, kama siyo hewani basi barabarani! Dhaifu bwana?
 
Dooky na Wana JF,
Na Spika naye yupo Nje aka India
Duh Hii kali, Nchi inaongozwa na Mungu.
Nawakilisha.

Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?
 
Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?

Hiyo mbona haina hata haja ya kujadili manake mie naona hata kama akiwepo ni kama hakuna Rais tu mbona kawaida sana tu Bongo inakwenda kwenda tu kiaina hakuna Mawaziri wala Rais hapo wote wezi tu wachumia tumbo jamaa anaweka mambo yake sawa maake siku si nyingi ataondoka so anajitahidi kuficha ficha japokuwa anazo nyingi tu za kufa mtu lakini si mnafahamu Maisadi wanataka kukomba mpaka vindululu.Bongo shamba la bibi
 
mleta hoja kaleta idea ambayo wengi wetu hawaijui lakini be alerted from now.
Hii nchi viongozi wake wako busy na mambo yao kwa taarifa zenu na ukitafuta vizuri hapa jf kuna mabandiko mengi yanaongelea vizuri suala hili ....wanasema ni 'out piloting'. Na kwa hali hii ndio uamini hili.
Inakuwaje wote wasiwepo, ni kwa sababu hiyo hiyo ya kuwa hata wakiwepo hawaongezi wala kupunguza lolote!

Ni kweli kiongozi. Kuna uzi ulitolewa humu ndani miaka ya nyuma kuwa nchi hii ina OMBWE la uongozi!
 
Back
Top Bottom