Kichwa Ze Don
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 226
- 350
Inflation inachangia kuporomoka kwa GDP.Hivi inakuwaje gdp ya Nigeria inaporomoka kila uchao?
Mpaka mwaka 2020 gdp Nigeria ilikuwa ni zaidi ya $ 450 bilion lakini ime poromoka mpaka $180bilion ndani ya miaka 4 tu.
Kuonyesha namna ambavyo serikali yako ya ccm imefeli kusimamia uchumi kutoka nafasi ya kumi hadi ya kumi na moja.Kulikuwa na ulazima gani wa kuiweka Tanzania???
Nchi 10 au Nchi 11?Nchi 11 zenye uchumi mzuri Afrika
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b. Nachechemea Mimi Tanzania oooh lala nachechemea
Uchumi wa Samia umepaa 😂😂😂!Nchi 11 zenye uchumi mzuri Afrika
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b. Nachechemea Mimi Tanzania oooh lala nachechemea
Wewe net worth yako ngapi?Uchumi wa Afrika kusini ni karibu x5 ya uchumi wetu 😳
Elon Musk net worth: $310B
Tanzania Economy: $85.98B
$99999.9999999999999999BillionsWewe net worth yako ngapi?
Hakunaga top 11 bali Kuna top 10.Kulikuwa na ulazima gani wa kuiweka Tanzania???
wewe net worth yako ngapi mkuu?Wewe net worth yako ngapi?
Akaimbe tarabu tuTuliwah kuwa hadi nafasi ya tisa miaka ya karobuni,samia hakuna anachoweza