China imekaa kimaskini Sana, utajiri wao ni wa vituNchi 10 zinazoongoza kwa kutoa misaada mingi kwa Tanzania kulingana na taarifa za mtiririko wa ufadhili wa kimataifa:
1. Marekani inatoa Dola 649,000,000 sawa na Sh1.7 trilioni. Misaada hiyo inajikita katika sekta za Afya, Elimu, Kilimo na Utawala Bora.
2. Uingereza – Dola 422,000,000 sawa na zaidi ya Sh1.1 trilioni. Misaada hiyo inajikita katika Afya, Elimu, Usalama na Utawala Bora.
3. Umoja wa Ulaya (EU) – Dola 385,000,000 sawa na zaidi ya 1 trilioni. Misaada hiyo inajikita katika Miundombinu, Kilimo, Biashara na Mazingira.
4. Ujerumani inatoa Dola 290,000,000 sawa na Zaidi ya Sh759.8 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Utawala Bora na Mafunzo ya Ufundi.
5. Japan inatoa Dola 235,000,000 (Inajikita katika Miundombinu, Elimu na Nishati)
6. Canada inatoa Dola 117,000,000 sawa na Zaidi ya Sh615.7 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Utawala Bora, Afya, Usawa wa Jinsia na Mazingira.
7. Uswisi – $96,000,000 sawa na Zaidi ya Sh251.52 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Ukuzaji Uchumi, Elimu na Utawala Bora.
8. Sweden inatoa $87,000,000 sawa na Zaidi ya Sh227.94 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Haki za Binadamu, Elimu, Afya na Utawala Bora.
9. Norway inatoa $70,000,000 sawa na zaidi ya Sh183.4 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi.
10. China inatoa $62,000,000 sawa na Zaidi ya Sh162.44 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Miundombinu, Biashara na Teknolojia).
Huu nao ni ukweli mchungu, wazungu na ccm anayemwitaji Mwingine ni Nani?Wazungu watawapa tu misaada kwani bila CCM hawatoboi kunyonya rasilmali Za nchi
Wote wapo kwa maslahi tu . CCM wanataka madaraka na wazungu wanataka rasilmali ,ndio maana unawaona hawafanyi chochote kwenye chaguzi zoteHuu nao ni ukweli mchungu, wazungu na ccm anayemwitaji Mwingine ni Nani?
Mambo ya kuomba aliyacopy Baba yenu Nyerere kanisanii. Toka kuupata uhuru akipokea misaaada tu , hakufikiri kuitoa. Nchi kwenye umasikini kwa kujitegemeaKuna watu tegemezi kama waislamu na mashehe wenu ....hapa dar hakuna msikiti ulioweza kujenga choo chake kwa pesa ya sadaka isipokuwa kwa kuomba arabuniu kwa waarabu ...msahada pekee wa waarabu kwa watanzania ni kujenga vyoo vya misikiti na misikiti na visima vya maji ya kitawazia
Aisee ni mambo ya mutualism?Wote wapo kwa maslahi tu . CCM wanataka madaraka na wazungu wanataka rasilmali ,ndio maana unawaona hawafanyi chochote kwenye chaguzi zote
Kiufupi mama ameipoteza nchi yetu mazima. Na hao alioenda kuwaomba urafiki amini nakwambia ni siasa tu kujisafisha mbele ya wananchi kutuzuga kwamba kama westerners hawatatusaidia bhasi tunaye atakayetusaidia. Urusi ni mzuri sana katika kuingia makubaliano lakini utekelezaji ni sifuri na mifano ni mingi tu. Kiufupi nchi yetu inaenda kudondoka kama Zimbabwe, tujifunge mikandaRussia kumbe haipo?? 🤣
Nchi za magharibi ni kama maji usipoyaoga basi utayanywa
Usisahau na nyama za makafara wakati wa Eid EL Adha..Kuna watu tegemezi kama waislamu na mashehe wenu ....hapa dar hakuna msikiti ulioweza kujenga choo chake kwa pesa ya sadaka isipokuwa kwa kuomba arabuniu kwa waarabu ...msahada pekee wa waarabu kwa watanzania ni kujenga vyoo vya misikiti na misikiti na visima vya maji ya kitawazia
Hawana show maana yake nini? Wakati wakichimba kisima tu nchi yote itajua na bango kubwa la kiarabu!Acheni kutegemea misaada, kwanza waarabu hawanaga mambo ya show,