Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,853
- 3,098
Nchi 10 zinazoongoza kwa kutoa misaada mingi kwa Tanzania kulingana na taarifa za mtiririko wa ufadhili wa kimataifa:
1. Marekani inatoa Dola 649,000,000 sawa na Sh1.7 trilioni. Misaada hiyo inajikita katika sekta za Afya, Elimu, Kilimo na Utawala Bora.
2. Uingereza – Dola 422,000,000 sawa na zaidi ya Sh1.1 trilioni. Misaada hiyo inajikita katika Afya, Elimu, Usalama na Utawala Bora.
3. Umoja wa Ulaya (EU) – Dola 385,000,000 sawa na zaidi ya 1 trilioni. Misaada hiyo inajikita katika Miundombinu, Kilimo, Biashara na Mazingira.
4. Ujerumani inatoa Dola 290,000,000 sawa na Zaidi ya Sh759.8 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Utawala Bora na Mafunzo ya Ufundi.
5. Japan inatoa Dola 235,000,000 (Inajikita katika Miundombinu, Elimu na Nishati)
6. Canada inatoa Dola 117,000,000 sawa na Zaidi ya Sh615.7 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Utawala Bora, Afya, Usawa wa Jinsia na Mazingira.
7. Uswisi – $96,000,000 sawa na Zaidi ya Sh251.52 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Ukuzaji Uchumi, Elimu na Utawala Bora.
8. Sweden inatoa $87,000,000 sawa na Zaidi ya Sh227.94 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Haki za Binadamu, Elimu, Afya na Utawala Bora.
9. Norway inatoa $70,000,000 sawa na zaidi ya Sh183.4 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi.
10. China inatoa $62,000,000 sawa na Zaidi ya Sh162.44 bilioni. Misaada hiyo inajikita katika Miundombinu, Biashara na Teknolojia).